Wapenzi wa Filamu za Kutisha (Horror Movies)

Daah dada anaitwa Alison Lohmna kazurii, hatari yani alafu kitu cha kujiuliza ni kwa nini hii movie ya Drag me to hell haikuwa na part two?
Nakumbuka kama vile iliisha na ile curse sijui iliteketea kuzimu..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kitambo sana.
Mkuu vipi MIRROR??? au ilinitisha Mimi tuu??
 
UMESAHAU WRONG TURN
 
lile libibi linatisha kweli daaah.
Hahahahaha. Hatishi sana. Au labda kwa ajili niliangalia nikiwa mdogo mdogo.
Hivi yule bibi si ni alipewa lift na yule Dada? Au ni mvua sijui ilikuwa inanyesha hivi. Walivyokutana first time?
Najaribu kuikumbuka ila sipati picha vizuri. Itabidi niiangalie tena.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…