Yes mtu anakutupia lishetani kwa kuchantia kitu na kukukabidhi ukipokea hicho kitu kwisha kazi litakusumbua siku ya saba linakubeba mpaka uwahi umrudishie aliyekupa hicho kitu kabla ya siku ya saba.
kwenye hiyo movie kuna mbibi alimpa mdada flani kifungo alichochantia dada alihangaika siku anaenda kirudisha akakuta bibi kafa, shetani likawa linamtesa akaambiwa akafukue kaburi akiweka kwenye kichwa cha maiti ya huyo bibi wakati anaenda akachanganya bahasha iliyokuwa na kifungo masikini akafukua na kuweka kifungo tofauti akafarijika kamaliza kazi akaamua aende vacation yuko kwenye kituo cha trni na bf wake bf wake anamwambia jana ulisahau kitu kwenye gari langu anamtolea bahasha yenye kile kifungo na siku hiyo ndiyo ilikuwa siku ya saba mara dada anaanza rudi nyuma ardhi inafunguka mkono wa shetan unamdaka anazama ardhin