Wapenzi wa Filamu za Kutisha (Horror Movies)

Drag me to hell

Annabelle the creation

Conjuring

The Hills have eyes

Hostel

Hizi movie siwezi kurudia kutizama hata kwa kulipwa. Hapa kuzikumbuka tu najua sitolala vizuri [emoji23][emoji23]
Sipendag watu wanapochanganya horror na mazombi. Hostel ni moja ya horror nzuri sana. Pia I know what you did in the last summer.
 
Yes mtu anakutupia lishetani kwa kuchantia kitu na kukukabidhi ukipokea hicho kitu kwisha kazi litakusumbua siku ya saba linakubeba mpaka uwahi umrudishie aliyekupa hicho kitu kabla ya siku ya saba.
kwenye hiyo movie kuna mbibi alimpa mdada flani kifungo alichochantia dada alihangaika siku anaenda kirudisha akakuta bibi kafa, shetani likawa linamtesa akaambiwa akafukue kaburi akiweka kwenye kichwa cha maiti ya huyo bibi wakati anaenda akachanganya bahasha iliyokuwa na kifungo masikini akafukua na kuweka kifungo tofauti akafarijika kamaliza kazi akaamua aende vacation yuko kwenye kituo cha trni na bf wake bf wake anamwambia jana ulisahau kitu kwenye gari langu anamtolea bahasha yenye kile kifungo na siku hiyo ndiyo ilikuwa siku ya saba mara dada anaanza rudi nyuma ardhi inafunguka mkono wa shetan unamdaka anazama ardhin
duuu io simulizi tuu nywele zimesima
 
Nakumbuka kama vile iliisha na ile curse sijui iliteketea kuzimu..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kitambo sana.
Mkuu vipi MIRROR??? au ilinitisha Mimi tuu??
cjaziona horror movie nyng but ile ya mirror kwangu ni 1st in my list kwa kutisha na issabele doll
 
Link ya kuzidownlod mkuu naomba.
ukitaka kudownload movie kirahisi kwa single click, andika "index of (jina la movie)" utapata link kibao na zenye matoleo tofauti tofauti (480p,720p,1080p) au tafuta kwa mwaka kwa kuandika "index of mwaka (mf.2017) movies", link utazopata ni za kudownload kwa single click na pia kwa device zote (ondoa iPhones) na huna haja ya kuwa na application nyingine kama torrent client nk.. changamoto ni kwa movie mpya sana huwezi kuzipata kwa njia hii...

mfano wa link hizo ni kama hii
Index of /Film/
 
Nakumbuka kama vile iliisha na ile curse sijui iliteketea kuzimu..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kitambo sana.
Mkuu vipi MIRROR??? au ilinitisha Mimi tuu??
Hiyo nayo sio haba nataka nidownload tena nichek
 
ukitaka kudownload movie kirahisi kwa single click, andika "index of (jina la movie)" utapata link kibao na zenye matoleo tofauti tofauti (480p,720p,1080p) au tafuta kwa mwaka kwa kuandika "index of mwaka (mf.2017) movies", link utazopata ni za kudownload kwa single click na pia kwa device zote (ondoa iPhones) na huna haja ya kuwa na application nyingine kama torrent client nk.. changamoto ni kwa movie mpya sana huwezi kuzipata kwa njia hii...

mfano wa link hizo ni kama hii
Index of /Film/
Umetisha sana umenipa formula moja matata sana nimeijaribu ikakubari Mungu akutunge amabere
 
ukitaka kudownload movie kirahisi kwa single click, andika "index of (jina la movie)" utapata link kibao na zenye matoleo tofauti tofauti (480p,720p,1080p) au tafuta kwa mwaka kwa kuandika "index of mwaka (mf.2017) movies", link utazopata ni za kudownload kwa single click na pia kwa device zote (ondoa iPhones) na huna haja ya kuwa na application nyingine kama torrent client nk.. changamoto ni kwa movie mpya sana huwezi kuzipata kwa njia hii...

mfano wa link hizo ni kama hii
Index of /Film/
Asante mkuu.
Huwezi amini tangu mchana nahangaika na the nun 2018.
Mpaka nikakata tamaa.
Na hapa pia naona haipo.
 
Back
Top Bottom