October man
JF-Expert Member
- Nov 23, 2017
- 3,635
- 5,012
Kwenye horror kuna category mbalimbali mkuuSipendag watu wanapochanganya horror na mazombi. Hostel ni moja ya horror nzuri sana. Pia I know what you did in the last summer.
Hahaha kumbe nawe ni mdau wa hii site ya fmovies, sema saizi hawa jamaa server zao haziko poa tofauti na mwanzo zilikua ziko fresh sana tofauti na saizi yani ma adds mengi alafu download option haipo sijui wameridhika na Wateja wao
Hiyo the hills have ayes jamani hadi niliacha kula nyama.Kwenye horror kuna category mbalimbali mkuu
_Ghost eg Conjuring, The ring
_Killer eg Hostel, Saw
_Helbil eg The hills have eyes, Wrong turn
_nk zombie, Vampire, Ware wolf nk.
Lazima kuwa na madhara fulani kisaikolojia, hata kama mtu anakataa.
Mtu unaweza kujistukia unaota ota madoto ya ajabu ajabu, mara mtu akikupitia karibu bila kujua kabla unastuka stukatu.
Nani anataka habari hizo? Certainly not me.
Putlocker hii nayo ina adds zinaboa alafu movie za latest sio rahisi kuzikutaPut locker
Drug me to hell ilinifanya nitamani kuruka kwenye kiti wakati mimi ni KONKI KONKI KONKI wa movie za kutishaHatari sana hiyo movie
Usiangalie horror movie kwadhumuni la kukutisha bali kuona mazingira fulani ya kutisha na kuogofya iyo ndio raha yenyewe.Mbona mi nimeicheki naona ya kawaida tu anawatisha yule sister kimeo
Hiyo si ya kitoto kama una roho nyepesiHiyo the hills have ayes jamani hadi niliacha kula nyama.
Saw nayo ni balaa tupu
Google RARBG TORRENTLink ya kuzidownlod mkuu naomba.
Nomaaa. Ina mahendisamu boiHiyo si ya kitoto kama una roho nyepesi
Download app inaitwa yts, na app ya torrent pia utazipata simple tu
Hata mm jina nimelisahau,, tuitafute mkuuMkuu kuna movie flani dingi na watoto wanaenda mapumzikoni huko wanakutana na kibox flani hivi watoto bila kujua wanakichukua na kurudi nacho home kwao. Kibox hicho kitaleta kizazaa ndani ya familia hiyo. Dah! Movie tamu sana jina tu limenitoka
Iko vizuri,, kuna mtu aliazima alafu ikapoteaNipe maoni yako kuhusu wrong turn au nayo hujaitazama
Pole sana kwahyo hujaitafuta tena.Iko vizuri,, kuna mtu aliazima alafu ikapotea
Mkuu inaitwaje?hiyo movie ikianza kuna bibi flani hivi anakufa kifo cha kutatanisha nyumbani kwake wakati akijaribu kukibomoa hicho kibox kwa kutumia nyundo...halafu baada ya kifo chake vitu vyake vyote ikiwemo hicho kiboksi vinauzwa nje ya nyumba yake....anatokea huyo baba na watoto wake wawili wakike....mtoto wake mmoja wa kike anatokea kukipenda sana kile kiboksi na kumshawishi babaake amnunulie...baba yake akamnunulia wakaenda nacho nyumbani........