Wapenzi wa Filamu za Kutisha (Horror Movies)

Wapenzi wa Filamu za Kutisha (Horror Movies)

Put locker
Hahaha kumbe nawe ni mdau wa hii site ya fmovies, sema saizi hawa jamaa server zao haziko poa tofauti na mwanzo zilikua ziko fresh sana tofauti na saizi yani ma adds mengi alafu download option haipo sijui wameridhika na Wateja wao
 
Kwenye horror kuna category mbalimbali mkuu
_Ghost eg Conjuring, The ring
_Killer eg Hostel, Saw
_Helbil eg The hills have eyes, Wrong turn
_nk zombie, Vampire, Ware wolf nk.
Hiyo the hills have ayes jamani hadi niliacha kula nyama.
Saw nayo ni balaa tupu
 
Lazima kuwa na madhara fulani kisaikolojia, hata kama mtu anakataa.

Mtu unaweza kujistukia unaota ota madoto ya ajabu ajabu, mara mtu akikupitia karibu bila kujua kabla unastuka stukatu.

Nani anataka habari hizo? Certainly not me.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mkuu naonaga wewe ni kauzu,kumbe[emoji38][emoji38].

Pata misisimko bana,kupitia the nun,the witch,and drag me to heaven[emoji38][emoji38]
 
Hiyo si ya kitoto kama una roho nyepesi
Nomaaa. Ina mahendisamu boi
IMG_20181106_113543_864.jpeg
 
Wadau sijawai download movie either simu au PC toka nizaliwe izo site zenyewe nikitaribu mizunguo kibao hakuna kitu direct, hemu wadau niwekeeni site au njia inayoeleweka niki click tu nidowload kama navyo download App praystore.
 
Mkuu kuna movie flani dingi na watoto wanaenda mapumzikoni huko wanakutana na kibox flani hivi watoto bila kujua wanakichukua na kurudi nacho home kwao. Kibox hicho kitaleta kizazaa ndani ya familia hiyo. Dah! Movie tamu sana jina tu limenitoka
Hata mm jina nimelisahau,, tuitafute mkuu
 
Halafu kitu nimegundua katika hizi muvie,ni kwamba.

Usikariri unayefikiri ni staring anaweza akapoteza muda wowote/anayevuta hisia zako anaweza akakuchanganya ndani ya dakika mbili.

Mfano katika hii muvie ya the NUN,huyu jamaa yetu ambaye alikuwa mchunga farasi,wenzakw wamepata maswahibu magumu sana wakatoka wazima,ila yeye katoka kapigwa chata la freemason[emoji38][emoji38][emoji38],kwahiyo kwa mahesabu ya haraka siye yeye tena.

Sister naye ana chata la nyota begani lakini hana taarifa,dah sijui ikitoka nyingine itakuwaje??

Nilikuwa namkubali priest kwa upako,lakini alichezea madochi mpaka akaregea,ni kama walikuwa wanapona kwa zaki zali hivi sio uwezo.
 
hiyo movie ikianza kuna bibi flani hivi anakufa kifo cha kutatanisha nyumbani kwake wakati akijaribu kukibomoa hicho kibox kwa kutumia nyundo...halafu baada ya kifo chake vitu vyake vyote ikiwemo hicho kiboksi vinauzwa nje ya nyumba yake....anatokea huyo baba na watoto wake wawili wakike....mtoto wake mmoja wa kike anatokea kukipenda sana kile kiboksi na kumshawishi babaake amnunulie...baba yake akamnunulia wakaenda nacho nyumbani........
Mkuu inaitwaje?
 
Back
Top Bottom