Wapenzi wa Filamu za Kutisha (Horror Movies)

Woman in Black...wameeleza kabisa usitazame ukiwa peke yako...INATISHA
 
ukitaka kudownload movie kirahisi kwa single click, andika "index of (jina la movie)" utapata link kibao na zenye matoleo tofauti tofauti (480p,720p,1080p) au tafuta kwa mwaka kwa kuandika "index of mwaka (mf.2017) movies", link utazopata ni za kudownload kwa single click na pia kwa device zote (ondoa iPhones) na huna haja ya kuwa na application nyingine kama torrent client nk.. changamoto ni kwa movie mpya sana huwezi kuzipata kwa njia hii...

mfano wa link hizo ni kama hii
Index of /Film/
Asante sana mkuu
 
Dracula vp unaionaje!

Ova
Dracula untold au Dracula ipi?
ile naona kama vile haitishi.

kuna hii ya another side of the door ( sijui kama niko sahihi)
kuna mtoto alifariki, mama akaambiwa atapelekwa sehemu ambako anaweza ongea na kucheka na mzimu wa mwanae ila kwa sharti moja tu la katikati ya maongezi mtoto wake akilia kuwa amfungulie mlango ili amuone mama yake, asimfungulie na mama akakubali.

siku ya siku akaenda hiyo sehemu na akawa anaongea na kucheka na mzimu wa mwanae. katikati ya maongezi mwanane akaanza kulia kuwa mama nakufa nikufungulie mlango.
mama huruma ikamjia akafungua mlango...hahahah
kilichoendelea ni hatari.
mzimu wa mtoto ulitafuna kila mtu.
inatisha na kuhuzunisha pia
 
Asante le madam
okay.

Hivi ushawahi ionaga Silent hill part 1 na two?
Nasikia part 3 inatoka mwaka huu, sijui ishatoka au bado.

Itafute.
ila onyo: usiitazame usiku.
Nishawahi weweseka kwa ajili ya movie hii
 
Aah mkuu usijari mi kidume cha mbegu
 
Dracula untold au Dracula ipi?
ile naona kama vile haitishi.

kuna hii ya another side of the door ( sijui kama niko sahihi)
kuna mtoto alifariki, mama akaambiwa atapelekwa sehemu ambako anaweza ongea na kucheka na mzimu wa mwanae ila kwa sharti moja tu la katikati ya maongezi mtoto wake akilia kuwa amfungulie mlango ili amuone mama yake, asimfungulie na mama akakubali.

siku ya siku akaenda hiyo sehemu na akawa anaongea na kucheka na mzimu wa mwanae. katikati ya maongezi mwanane akaanza kulia kuwa mama nakufa nikufungulie mlango.
mama huruma ikamjia akafungua mlango...hahahah
kilichoendelea ni hatari.
mzimu wa mtoto ulitafuna kila mtu.
inatisha na kuhuzunisha pia
@Madam b we kiboko

Ntaitafuta aiseeeh
 
Back
Top Bottom