Hannah
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 9,679
- 39,087
Au simu yangu kimeo
Hapana mkuu,, mi mbona nikianza kudownload haichukui hata 30 sec
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapana mkuu,, mi mbona nikianza kudownload haichukui hata 30 sec
Hiyo YTS ukishaisearch muvi utaona sehemu imeandikwa Magnet na Torrent so wewe nenda hapo Magnet itakuletea info ya hiyo muvi then kwa juu upande wa kulia kuna alama ya tick click hapo itaanza kudownload
Vipi hiyo kasi yake ktk kupakuaNimefanikiwa boss.
Asntee mkuu.
Vipi hiyo kasi yake ktk kupakua
Eeeeh!!! Naona mambo ni kama yoteeeIna speed ila ni hadi uwe na torrent app.
Ko moja nimeiacha kule na orphan nimeileta huku.
Orphan ishampita yule kule.
Eeeeh!!! Naona mambo ni kama yoteee
Vp orphan ina Mb? au umechukua ya Gb 1?
Ok,,Sina storage ya kuhifadhi GB. Nimechukua ya mb mkuu.
Mimi kuna Movie naitafuta Part 2 yake inaitwa Jennifer's BodyDaah dada anaitwa Alison Lohmna kazurii, hatari yani alafu kitu cha kujiuliza ni kwa nini hii movie ya Drag me to hell haikuwa na part two?
Pamoja sana mkuu,ukiwa na network fresh mzigo unaenda fasta sanaNimefanikiwa boss.
Asntee mkuu.
Hiyo laana ili uipate inabidi upewe kitu nawe ukipokee, ndiyo maana yule bibi ali chantia kile kifungo na akakimkabidhi yule dada akakipokea, kama unakumbuka yule dada alivyoenda kwa yule sijui mganga sijui fortune teller katika kumsoma alimuuliza kuna kitu umepewa/umepoteza dada akabisha jamaa akamwangalia akaona kifungo chake hakipo ndipo akamwambia kifungokwa-muda Nikusahihishe kitu kuhusu Drag Me To Hell
Nikwamba kuna kitu kinaitwa Lamia, Lamia ni laana ambayo unakuwa umekabidhishwa kwa shetani,
Inakuwaje hii laana?
Nikwamba utasumbuliwa na maroho ya ajabu ajabu ndani ya siku saba ikiwa ni kama onyo then usipojirekebisha makosa ile siku ya saba inapotimia ndio shetani anatokea kukamilisha hiyo laana(Lamia)
Unapelekwa kuzimu motoni bila kufa, yaani unalazimishwa kwenda kuchomwa nikama roho yako inakuwa sold kwa shetani bila wewe kupenda,
Hii lana inaondolewa na mtu yule tu ambaye kakupa laana, labda ukaombewe ama kuswaliwa na watu wa imani kwelikweli
Ndio maana mwanzo unaona yule kijana ambaye aliiba mkufu katika duka lakuuza vitu vya kale mwenye duka kwasababu kitu cha thamani kimepotea ndio anatoa hiyo laana kwa mwizi.
Baadaye unamwona tena Mbibi ambaye alikuwa anadaiwa na bank anamta laana mdada ambaye yule bibi anahisi alidharirishwa naye alipokuwa anaombwa msaada.
Ila lakuzingatia hii laana unapewa kupitia kitu ulichoiba au kilichotoka kwako moja kwamoja ndio maana kwa bint alitumia kifungo kilichotolewa katika koti ambalo alikuwa amevaa binti wakati wa purukushani
Kaangalie tena utaelewa vizuri mkuu zingatia sana mganga anachoongea katika scene ya kwanza na yule kijana, nazingatia hadi binti anapopelekwa kwa huyo huyo mma utagundua tabia ya hiyo laana
pia unaweza ku-google ni nikweli ipo laana kama hiyo pia tunaweza kusema ni Tego kwa lugha rahisi.
Hope ukiangalia tena itakuwa mpya sasa
Yani, muvi yenyewe sijaitizama lakini naona kama manyokanyoka vile.kwa-muda Nikusahihishe kitu kuhusu Drag Me To Hell