Wapenzi wa Filamu za Kutisha (Horror Movies)

Unajiweza lakini?
kwanza shukrani sana kwa kuwa huwa unatuletea vigongo vikali ila nina ombi uwe unatupa story za movie au series tofauti na horror movie mfano movie ya ESCAPE PLAN hii inahusu jamaa ambaye ameajiliwa kwaajili kuingia magerezani kwa katengeneza kosa na kutoroka kwa lengo is kupima ufanisi wa magereza but inatokea kuingizwa kwenye gereza tofauti na alilopangiwa baada ya kugeukwa na mkubwa wake wa kazi safari hii anakutana na changamoto kubwa tofauti na magereza aliyowahi kuingia hilo ni kiboko nini kitaenda kutokea?

THE LAST, Hii ni series ya kikorea inamuhusu jamaa ambaye ni muhasibu anafanya kazi kwenye organization fulani ya private inatokea msala mmoja hivi hela za taasisi zinaibwa bila kujua msala mzima unamuangukia yeye anajikuta anatoroka kwasababu ya kutokujua anajinasua vipi anatafutwa na polisi pamoja na wadau walioweka hela zao hapo. kutokana na hiyo changamoto anajikuta anaishi maisha ambayo hajawahi kutegemea maana tangu azaliwe hajawahi kuishi maisha ya chini kuna visa vingi anaenda kuexperience but kitu pekee anajivunia ni uwezo wake wa akili utamsaidia kwenye mambo mengi.
SteveMollel
 
Kaka nimekupata vema.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…