Wapenzi wa Filamu za Kutisha (Horror Movies)

Wapenzi wa Filamu za Kutisha (Horror Movies)

Kuna movie imetoka this year inaitwa From, na season 1 washamaliza, i recommend you guys to watch it,
it is a Lit.
 
Wakuu 🙌 Nme-screenshot comments zote zinazoelezea movies, kuna mahali hua naenda kula free WIFI aisee nawaahidi sitowaangusha.

Binafsi, horror movies ndio movies pekee ambazo utakuta nimekaa naangalia mana zinanipa hisia mubashara, horror movies nazopenda ni aina kama ya The Nun, Annabelle, The Conjuring, Ring na nyingine kama za aina hizo lakini sipendi horror movies aina kama ya Final Destination, Saw n.k
 
yaan hizo ambazo huzipendi ndio kali sasa...mfano wrong turn,house of wax,saw,jeepers clippers,mug,
 
yaan hizo ambazo huzipendi ndio kali sasa...mfano wrong turn,house of wax,saw,jeepers clippers,mug,
Daah yn hizo hua naangalia lkn si-enjoy kabisa kama nikiwa naangalia hizo horror movies zenye supernatural power flani hv
Mfano hizo house of wax na wrong turn & saw nimeangalia baadhi lkn bado nahisi kama kuna kitu nimekosa
 
Hapendi thriller.
Mambo ya chinja chinja.

Yeye atakuwa anapenda zile za kushtua tu lkn hamna mambo ya damu damu
Ata mimi mambo ya damu damu wala hayanishtui vitu kama conjuring, Insidious, Anabell, lacarona ndo nainjoy halafu uangalie usiku mnene na sauti kama zote

Sent from my SM-A500H using JamiiForums mobile app
Yap yap, hakuna kuchinjana wala damu ila moto wake ni noma huwezi kukaa ukatulia. Devil dead Nilikuwa naweka stop naenda nje kupigwa na upepo narudi kuendelea.
 
Kuna movie imetoka this year inaitwa From, na season 1 washamaliza, i recommend you guys to watch it,
it is a Lit.
Ni Series yangu Pendwa,
Nasubiri Season 2 maana imetuacha na Hype la hatari hasa lile Bus lililopark pale mwishoni na huku mambo ndio yamechachuka.
 
Back
Top Bottom