Drone Camera
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 14,041
- 13,907
Veronica, The nun,ghost house n.k
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii ni ile binti anayekuwa possessed na devil kisha Rabbi wa kiyahudi anamtoa huyo devil kwa kutumia kisanduku fulani hivi...The Exorcist (Sijawahi kuangalia lakini[emoji16])
Hii movie nakumbuka nilimaliza kuipakua 2013 ilikuwa ni usiku bhana! Niliiangalia asubuhi maana ilikuwa ni hatari kwa kiasi chake..The conjuring noma
121.
Ni movie gan hyo natamani kuijua jina niitafuteKuna hizi SAW Ushawahi kuona mtu anabanikwa?
ilikuwa bado kidogo nipasue screen kwa kikombe.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Bila shaka utakuwa ni mfuatiliaji mzuri wa Paranormal Activity
Paranormal activity ambayo ninayoingalia kwa sasa ni YouTube channel ya Mind Seed.Hahah eeh kuna channel youtube The top 5s ndio ina hizo mambo sana, nataka kujua what happens after we die ndio maana napenda hizo movies na documentaries.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna ambaye anayeikumbuka Jeeper Screepers? Every 23rd Summer jamaa anafufuka. Muue ila ikafika hiyo tarehe jamaa yupo kazini.
Jeepers Creepers au Jeepers Screepers? Jeepers Creepers was my favorite back then before i watched Drag me to hell.Kuna ambaye anayeikumbuka Jeeper Screepers? Every 23rd Summer jamaa anafufuka. Muue ila ikafika hiyo tarehe jamaa yupo kazini.
Paranormal activity ambayo ninayoingalia kwa sasa ni YouTube channel ya Mind Seed.
Kuna kipindi waliitwa kwenye nyumba moja baada ya mmiliki ambaye aliachiwa hiyo nyumba na babu yake aliyefariki. Hiyo nyumba ilikuwa na mauza mengi waliitwa bhana!! walikimbia majamaa!! Ulisikika mlio Mkubwa kama nyumba inaangushiwa mawe makubwa makubwa kutoka juu.
Texas Chainsaw....Sawyer's family...
Hii kwangu niliiona ya kawaida yaani haikunitisha. [emoji848]Au kwasababu niliangalia mchana?Kuna ambaye anayeikumbuka Jeeper Screepers? Every 23rd Summer jamaa anafufuka. Muue ila ikafika hiyo tarehe jamaa yupo kazini.
SAW zipo nyingi, ila niliangalia moja dk25 za mwanzo.
Hii movie naikubali vibaya. Niliitizama part 1&2. Usiku bhana ukifika nikawa naogopa kutoka. Maana Jeeper Screepers ndiyo muda wake huo anapaa usiku. Ilikuwa ni 2009 hiyo!
Siikumbuki vizuri jina lake ila inawezekana ukawa upo sawa.Jeepers Creepers au Jeepers Screepers? Jeepers Creepers was my favorite back then before i watched Drag me to hell.
Sent using Jamii Forums mobile app
Inawezekana.Hii kwangu niliiona ya kawaida yaani haikunitisha. [emoji848]Au kwasababu niliangalia mchana?
Veronica, The nun,ghost house n.k
What about Paranormal Activity, inatisha sana?[emoji16]Naogopa kuangalia mwenyewe, ila natamani kujua kilichopo.Inawezekana..
Kuna movie moja niliingalia muda kiasi. Inahusu kituo kimoja cha polisi. Ukiwa night shift imekula kwako kwani kwenye hicho kituo kuna wafungwa walijiua kwa kufanya kafara za ki' devil.
Askari mmoja wa kike ndiyo mara ya kwanza kuingia kwenye hiyo shift kwenye hicho kituo. Alipambana na mauza uza na madevil mwishoni alishindwa naye akauliwa kwa kafara kama wale watuhumiwa waliyojiua kwa kafara. Akaunganishwa kwenye devil's line..