Wapenzi wa Filamu za Kutisha (Horror Movies)

Wapenzi wa Filamu za Kutisha (Horror Movies)

Drag Me To Hell ni mojawapo ya filamu nilizokubali sana kuanzia acting, humor pamoja na soundtrack.
Ila kiukweli mwishoni sikupenda yule Dada kajitahidi sana kupambana lakini sivyo akafa
Ila ni bonge moja la movie kwangu mimi
 
Drag Me To Hell ni mojawapo ya filamu nilizokubali sana kuanzia acting, humor pamoja na soundtrack.
Ila kiukweli mwishoni sikupenda yule Dada kajitahidi sana kupambana lakini sivyo akafa
Ila ni bonge moja la movie kwangu mimi
Mara nyingi horror movies hazina Heroes. Hata ukiangalia The Ruins, Bright Burn etc. zote hazina Heroes. So liweke kama kawaida hilo akilini

Sent from my SM-A205F using Tapatalk
 
Insidious collection chapter 1-4, anabell collection, conjuring 1&2, curse of lacarona, dead silence, the possession, paranormal activity, jeepers creepers.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Napenda sana horror asee. Na raha yake uitazame usiku [emoji23][emoji23]

Mosi, INSIDIOUS chapter zote.

Pili, THE CONJURING

Tatu, THE WAILING

Nne, IT

Tano, THE WITCH

Sita, DONT BREATHE

Saba, THEY LOOK LIKE PEOPLE
Kwenye hii list ongeza Dead silence, The possession, Anabell, curse of lacarona

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji115]
Screenshot_20191012-164905~2.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hizo Saw nimeanza kuangalia zamani huwa siziwezi mara mtu katolewa utumbo, kanyofoa kichwa, kakata mguu Kwa kisu,katolewa macho, kakunjwa mifupa, mara mtu anasagwa Kwa machine, au kachomekwa minyororo alafu kuna bomb alafu anaanza kujinyofoa minyororo,

alafu baada ya hapo unaanza kukosa amani Kama wiki hivi alafu unarudi kwaida.

ila IT na US story zake nzuri pia za kawaida alafu zinafurahisha, zinakufanya uinjoy ujisikie Kama hapa naangalia movie ila hizo nyingine unaangalia movie na mashaka kibao bora nirudi sci fi.
Hivi jordan peele ni fundi sana wa scary movies? Sijaziangalia lakini naona mnasifia sana movie zake hizo it na us.
 
Back
Top Bottom