Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mara nyingi horror movies hazina Heroes. Hata ukiangalia The Ruins, Bright Burn etc. zote hazina Heroes. So liweke kama kawaida hilo akiliniDrag Me To Hell ni mojawapo ya filamu nilizokubali sana kuanzia acting, humor pamoja na soundtrack.
Ila kiukweli mwishoni sikupenda yule Dada kajitahidi sana kupambana lakini sivyo akafa
Ila ni bonge moja la movie kwangu mimi
Kuna kitu kinaitwa grugde nan aliwah kuziona zipo kama 3 zipo poa sana
Sent from my iPhone using JamiiForums
Kwenye hii list ongeza Dead silence, The possession, Anabell, curse of lacaronaNapenda sana horror asee. Na raha yake uitazame usiku [emoji23][emoji23]
Mosi, INSIDIOUS chapter zote.
Pili, THE CONJURING
Tatu, THE WAILING
Nne, IT
Tano, THE WITCH
Sita, DONT BREATHE
Saba, THEY LOOK LIKE PEOPLE
The Curse of Lalorona. Bonge la movie! Anabelle, huyu kiumbe ni kisanga, ana tabia ya kuamsha other spirits around. Bila kusahau DRAG ME TO HELL!Kwenye hii list ongeza Dead silence, The possession, Anabell, curse of lacarona
Sent using Jamii Forums mobile app
Nilikuwa natafuta aliyeitaja hii, maana it's based on true eventsThe Exorcist baba lao.
Hivi jordan peele ni fundi sana wa scary movies? Sijaziangalia lakini naona mnasifia sana movie zake hizo it na us.Hizo Saw nimeanza kuangalia zamani huwa siziwezi mara mtu katolewa utumbo, kanyofoa kichwa, kakata mguu Kwa kisu,katolewa macho, kakunjwa mifupa, mara mtu anasagwa Kwa machine, au kachomekwa minyororo alafu kuna bomb alafu anaanza kujinyofoa minyororo,
alafu baada ya hapo unaanza kukosa amani Kama wiki hivi alafu unarudi kwaida.
ila IT na US story zake nzuri pia za kawaida alafu zinafurahisha, zinakufanya uinjoy ujisikie Kama hapa naangalia movie ila hizo nyingine unaangalia movie na mashaka kibao bora nirudi sci fi.