Wapenzi wa Filamu za Kutisha (Horror Movies)

Acha promo ulizoweka na chumvi eti The Conjuring ni most horror movie ever. James Wan kawazuzua sana.
 
Mkuu mpaka sasa sijaona movie ya kutisha aisee
Zinakuwa hazitishi sana kiasi cha kushindwa kulala usiku, ila ladha inakuja ni pale napoona watu kama familia wanaenda tours then wanaanza kuangamia kikatili.
 
Ukiacha ile Wrong turn 6 kwani imeshatoka nyingine?
Nadhani bado mkuu. Kale kazee ni kama ka sterling yani. Mi huwa zinanipa raha naangalia mida ya saa sita nighti kukiwa hamna kelele, yaani nakuwa kama nipo kwenye movie ndani.
 
1.THE HOSTEL
2.SAW
3.WRONG TURN
4.FINAL DESTINATION
5.SEPTEMBER 2012
6.GHOST SHIP
hizi ndo ukitazama zinaogofya sana ila siyo hiyo uliyotaja
Thrillers.

Horror movies ni zinazokufanya kuogofya kimawazo kutokana na mambo yanayotokea.

Hizi ziko kawaida sana.

Ukijaribu kuangalia filamu hizi ukiwa umetulia kimawazo na kama unajua muunganiko wa dunia halisi na ya roho lazima kuogofya.

Jaribu exorcist 1 - 3.
Omen
The Ring
Silent Hill
Hill have eyes (hii ni ya ki canibal sana kama nakumbuka vizuri)

Conjuring ni nzuri maana ina matukio halisia sawa na Haunting in Connecticut. Sasa hizi zingine za binadamu kuwachomachoma na kuwala wenzao sijui mantiki ya kutisha hapa iko wapi.

Jaribu kuwa mahala palipotulia na penye giza kidogo ili akili yako iwe katika filamu tu
 
UNAZOZITAJA NIMESHAZIONA ILA HAZINIFANYI KUOGOFYA LABDA HIYO YA HILLS HAS AN EYE
 

Bingooo.

Conjuring Inatisha Na Ni Reality. Itakuwa Watu Wameichek Juu Juu.
 
"MAMA" Ni Horror Movie Nzuri Pia.

Kwa Wapenzi Wa Conjuring Zipo Nyingi Zinakuja Kwa Design Tofauti.
Get Ready.
 
Update. THE SHALLOWS Ni Thriller Movie Mpyaaaaa. Ipo Kwenye Show Box Na Popcorn. Hope Mtaenjoy.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…