Inaitwa "The Conjuring" Ni Moja Ya Movie Za Kutisha Sana. Kuna Watu Wamesadikika Kufa Wakati Wanaichek Kutokana Na Kutisha Kusiko Kwa Kawaida Ni Story Ya Kweli Iliyo Wahi Kutokea Ulaya. Kutokana Na. Majini (Demons) Walio Vamia Nyumba Na Kuanza Kuwatesa. Ghost Hunters, Demonologists, Exorcists, Na Paranormal Naturalist Wapo Kwenye Zoezi Hili La Kuwaondoa Hawa Weird Demons Kwa Msaada Wa Kanisa Je Wataweza? Demon Avalak Atakubali Kuondoka?
Fuatilia Kisa Hiki Kwa Kina.
Binafsi Si Kulala Vizuri Siku TATU.
Itafute Show Box Ipo 1&2.
If You're Easily Shocked Positively Don't Watch It Out.