Wapenzi wa Filamu za Kutisha (Horror Movies)

Wapenzi wa Filamu za Kutisha (Horror Movies)

Maana naona watu wanachanganya movies za mashetani na movies na kukatana mapanga na mikasi kama saw! Hapo moja Ni ya kutisha na moja ya kuogofya.
 
Zingine.....

Annabelle
Insidious
Sinister
The Orphan
The Hut

SAW (jigsaw killer) - series nzima, nadhani 1-7
As below so is above
The ruins
Friday the 13th
I spit on your grave
Wolf creek
The collector
Hitcher
...........
 
Mleta mada anaongelea HORROW movies kama drag me to hell,c onjuring, the ring za mashetani na majini
But watu mnaongelea za KUOGOFYA kama hostel,saw na wrong turn.
 
Kuna let me in, Mama na kuna moja hivijina nimesaha kwa mimi hizi ni balaa.
 
kuna let me in, Mama na kuna moja hivijina nimesaha kwa mimi hizi ni balaa

Mama Tamu Sana Yaan Watoto Wanalelewa Na Demon?

Tafuta Sinister Na Orphan.
Hope Hutojutia.
 
Back
Top Bottom