Wapenzi wa Filamu za Kutisha (Horror Movies)

Wapenzi wa Filamu za Kutisha (Horror Movies)

Kuna jamaa mmoja alikuwa anapenda hayo mapicha siku moja walishangaa anatoka chumbani kwake mbio wenzie walimfuata na kumhoji alidai ameona mtu anatoka nje ya sreen anamfuata. Endeleeni kuangalia iko siku ........
 
Daaah haya mamovie yamenipita pembeni sana napenda sana documentary na historical movies
 
Kuna jamaa mmoja alikuwa anapenda hayo mapicha siku moja walishangaa anatoka chumbani kwake mbio wenzie walimfuata na kumhoji alidai ameona mtu anatoka nje ya sreen anamfuata. Endeleeni kuangalia iko siku ........

Inaweza Ukawa Sahihi Mkuu Kwani Hizo
Movie Zingine Ni Matukio Ya Kweli.
Kama Conjuring Kuna Mtu Ali Dead Kwenye Cinemax Jinsi Ilivyo Horror. [emoji88] [emoji88] [emoji88]
 
Hiyo muvi ni hatari asee. Yule bibi Mrs Ganosh alipokwenda benki kwa yule mdada. Iko vizuri sana ila inatisha mno.

Unakumbuka Hapa?
1474653469133.jpg
1474653475550.jpg
 
Thrillers.

Horror movies ni zinazokufanya kuogofya kimawazo kutokana na mambo yanayotokea.

Hizi ziko kawaida sana.

Ukijaribu kuangalia filamu hizi ukiwa umetulia kimawazo na kama unajua muunganiko wa dunia halisi na ya roho lazima kuogofya.

Jaribu exorcist 1 - 3.
Omen
The Ring
Silent Hill
Hill have eyes (hii ni ya ki canibal sana kama nakumbuka vizuri)

Conjuring ni nzuri maana ina matukio halisia sawa na Haunting in Connecticut. Sasa hizi zingine za binadamu kuwachomachoma na kuwala wenzao sijui mantiki ya kutisha hapa iko wapi.

Jaribu kuwa mahala palipotulia na penye giza kidogo ili akili yako iwe katika filamu tu
Kuna tofauti kati ya horror movies na thriller.
Hizo za kuchinjana chinjana ni thriller na sio horror.
Hio omen naikubali sana.
Nakumbuka niliangalia kucha. Part 1 mpk 3. Haiishi hamu.
Me napenda zaidi horror kuliko thriller.
Kama hizo wrong turn hatari sana.
 
Mkuu kt movie za horror ambazo sizikubali ni
1. SAW
2. FINAL DESTIONATION
Hostel & september bado sijaziona kwahiyo siwezi kuzijudge

SAW & FINAL DESTINATION haziwezi kumfikia ''EVIL DEAD"
Kuna horror movie ukiangalia, km ni usiku hata ukijigusa ww mwenyew unashituka.
Ushawahi kuangalia horror mpaka ukataka upige kelele?
Evil dead mkuu si mchezo. Ile part1.

Me pia mpenzi sana wa horror movies.

Sema siku hizi napitwa sana, nachoka na pirika za maisha sina hata time ya kuangalia movies. Hata hizi mpya zinazoingia sizijui.
 
Naona mnachanganya Horror na Thriller kuwa group moja.
 
Back
Top Bottom