Wapenzi wa Filamu za Kutisha (Horror Movies)

Wapenzi wa Filamu za Kutisha (Horror Movies)

Mamovie ya kutisha kwakweli nilisha achana nayo kitambo. Maana nilikua naziangalia mpaka nikajiona naelekea kua na roho ya ajabu. Nashukuru siku hizi siziangalii kabisa.

The conjuring 2 trailer lake 2 naliogopa maana iliua mtu india
 
Kuna nyengine inaitwa Evil Dead
Hiyo ni noma lazima uote kama sio mzoefu Wa hizo muvie ni Bonge la horror
 
The most horrors movies of all the time ambazo daily lazima ni shtue nazo ili kazi za kutwa nzima auusingizi uwe mzuri ni scary movies 1,2,3,4, na 5

Hawa jamaa kama kuna umpenzi wa horror movies hawa ndo kiboko. Wamejumlisha zile kali zote humo

Nashangaa kwanini wamestop kwa muda mrefu hivyo.

Tena ngaja ni cheki hii ya ya nne...
Hizo muvie ni nzuri coz ndani yake kuna comedy za kutosha ziko poa mfano hiyo 4
 
Mkuu mtoa mada mbona hyo muvi haitishi kabisa.sijaona kinachotisha na niliamua kuiangalia usiku wa saa7 na sub UFA sauti juu ili nisikie vizuri vile vishindo vya muvi lakini hamna kitu. Kwa upande WANGU naona haitishi sana kama mtoa Mada alivyoaminisha.
 
Mamovie ya kutisha kwakweli nilisha achana nayo kitambo. Maana nilikua naziangalia mpaka nikajiona naelekea kua na roho ya ajabu. Nashukuru siku hizi siziangalii kabisa.
The conjuring 2 trailer lake 2 naliogopa maana iliua mtu india
Mmmmh kumbe ni kweli?
 
Hello guys wazima,

Nimewaandalia listi ya mwendelezo wa muvi za kutisha zitakazo toka mwaka 2017/2018. Picha hizihapo chini

628ef2b8e9d0ed1b0019648661471080.jpg
c795bb4edcc543a355bd14c8cbf2f937.jpg
6af24c5387e7fba0fb5dcf1d2e89c923.jpg
6c9ca4b211845a6bdff5f3f7b6aaeeff.jpg
779d4ff24688664138cad14ee6bb4de6.jpg
78046a7abef6ff0eafa5c1629c5fa018.jpg
c6573c1fdc465c97ff696c2da5f76c30.jpg
8c94f5fb387be172c2163f02387cf900.jpg
7bcf0b763a595d34be46ffce3e08e001.jpg
2627e6a7d9c9e2b406a3f3ad19c3a1f7.jpg
2ace70b2000186525c34fb4993168e31.jpg
ee4c6ff47f0e1a8ad6edf3e182cabc93.jpg
e4313cea7ce019c9dffd7cbbd808c7ea.jpg
c9ed1596380257d47ef52ddcca753020.jpg
7163180bc77e413b818ff8b30adbac24.jpg
 
Back
Top Bottom