Wapenzi wa Filamu za Kutisha (Horror Movies)

Wapenzi wa Filamu za Kutisha (Horror Movies)

nimeshaziona hizo mpnz, mana me ni mpenzi wa movie haijapata kutokea, na masomo ningekuwaga hivyosahizi ningekuwa mbali sana 🙂

Mmmh! Nishapata Mpenzi Ngoja
Tuyamalize Ng'ambo Ya Pili.
 
1.THE HOSTEL
2.SAW
3.WRONG TURN
4.FINAL DESTINATION
5.SEPTEMBER 2012
6.GHOST SHIP
hizi ndo ukitazama zinaogofya sana ila siyo hiyo uliyotaja
Hiyo SAW hapana aisee,niliiangalia kwa dk20 tu niliyoyaona humo hata CD yenyewe nilikoitupa sikumbuki.
 
Hiyo SAW hapana aisee,niliiangalia kwa dk20 tu niliyoyaona humo hata CD yenyewe nilikoitupa sikumbuki.

Hiyo SAW Ipo Kwenye Watchlist Yangu Usiku Ngoja Nivumilie Kiubabe.
 
Mmh ha ha yani mimi sina hata sense za kuogopa au kustuka sjui kwa nn labda kwa sababu nishashuhudia matukio ya ajabu na kutisha ili nigharimu miaka 7, hata nione mtu anachinjwa karibu ntageuka kuangalia ntaendelea na safari yangu.
 
SAW huwezi kutazama usiku hata siku moja
Ngoja nikaitafute hii maana siku hizi sioni muvi ya kunitisha, zimenilemaza, yaani naona kawaida sana!
Natafuta muvi inayotisha sana yaani niiangalie usiku kwenye sound system gizani.
 
Mmh ha ha yani mimi sina hata sense za kuogopa au kustuka sjui kwa nn labda kwa sababu nishashuhudia matukio ya ajabu na kutisha ili nigharimu miaka 7, hata nione mtu anachinjwa karibu ntageuka kuangalia ntaendelea na safari yangu.

Nina Doubt Na Wewe Chief Huenda Hauna Sensory Neurons. Haaah.
 
Ngoja nikaitafute hii maana siku hizi sioni muvi ya kunitisha, zimenilemaza, yaani naona kawaida sana!
Natafuta muvi inayotisha sana yaani niiangalie usiku kwenye sound system gizani.

Avatar Yako Inasadifu Jinsi Ulivyo

Wenzetu Wazungu Wapo Vizuri Kwenye Movie Industry Yaan Sound effect Zimesimama Kinyama My Goose Bumps Zina Chachamaa Mda Wote.
 
My best was DRAG ME TO HELL...events occurred unexpected plus sound effect was good much appreciated in theater...0% blood 0%nudity 100% adrenaline surge
Hiyo muvi ni hatari asee. Yule bibi Mrs Ganosh alipokwenda benki kwa yule mdada. Iko vizuri sana ila inatisha mno.
 
Hizo ni siasa za promotion ndugu yangu...ni sawa na yule aliyesema ameuza figo anunue iPhone 7
 
Back
Top Bottom