Wapenzi wa Filamu za Kutisha (Horror Movies)

Wapenzi wa Filamu za Kutisha (Horror Movies)

Kuna muvi iyo inaitwa Buried. Jamaa alizikwa akiwa mzima na simu pamoja na kiberit cha sigara.
 
Drag me to hell..wacha kabisa..niliangalia nkiwa home alone ckumaliza niliona mauza uza ikabidi niende kukaa kwa jirani nisubir family members warudi
 
Drag me to hell..wacha kabisa..niliangalia nkiwa home alone ckumaliza niliona mauza uza ikabidi niende kukaa kwa jirani nisubir family members warudi
Hahaha. Aisee spati picha kaupepo kalipo puliza mapazia uliskiaje!
 
Aaah siku hizi I merely do watch horror movies. Kwa sasa naangalia muvi za kiintelejensia, but nakumbuka saw, wrong turn, final destination, Texas chain massacre, no country for old men, 666 omen, scream (am not sure, ya yule serial killer anayevaa mask alafu mwishowe wanagundua ni rafiki yao au mtu wanaye mjua) zipo nyingin siku hizi nimekua mvivu wa horror na sci-fi sana² ni comedy,crime,drama,thriller,war,action na intelligence
 
Back
Top Bottom