Wapenzi wa gari aina ya Scania tukutane humu

Wapenzi wa gari aina ya Scania tukutane humu

Eizyek

JF-Expert Member
Joined
Aug 12, 2019
Posts
800
Reaction score
2,773
Katika gari ambazo lazima nije nimiliki ni pamoja na Scania, hizi gari hata zikipita mbele ya macho yangu naona fahari kweli afe kipa afe beki, SCANIA FOR LIFE.

IMG-20200123-WA0029.jpeg
Screenshot_20191012-212848-1.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndio yemyewe mkuu na kuna boton ya triger kwenye dushbord unaweza press wee hukanyagi exleter wala nini miguu unaweka pembeni kabisa kitu kinaserereka chenyewe gia unasikilizia zinavyojipanga zemyewe
Hii ngoma gani? Au Tata new model maana naskia gia zake za maana unapanga clutch,govi,button gia lever ina button 3
 
Back
Top Bottom