Kulikuwa na publishers wawili, wa u.k. na wa u.s.a hence titles tofauti.Nadhani wachina walifanya mambo yao, the original one is Philosopher's Stone.
Kistory story, in the real life yule kijana aliyeigiza kama Harry Potter, Daniel Radcliffe alipata pesa nyingi sana kwa kuact kama Harry Potter na alinunua penthouse New York. He is sorted.
Katika series yote kifo cha professor Dumbledore kiliniuma sana mkuu.Kwenye story hii Harry ndio amemuoa Ginny na wana watoto watatu na Harry anafanya kazi kwemye wizara ya mazingaumbwe yaani Ministry of Magic.
Ila katika movie zote, Ginny alikuwa kila akimwona Harry alikuwa anakuwa mtu wa aibuaibu hivyo ni bora imekuja hii series.
Mwelekeo halisi ya hii hadithi ni kwamba mtoto wa mwisho wa Harry aitwae Albus anakataa kurithi mikoba ya kichawi ya familia na hapo ndipo mauzauza yanapomwandama na kuleta tafrani.
Hicho Hapo
Katika series yote kifo cha professor Dumbledore kiliniuma sana mkuu.
Alimuoa kitabu cha saba buanaaaa...Uwii umenikumbusha mbali...nilikuwa soo taken na hii kitu hadi nikaanza kuamini one day my letter itakuja from Hogwarts...smhSikujua kama Harry alikuja kumuoa Ginny Weasley dada yake Ron.
Ndio....na yeye akampata Hermione wakazaa vitoto....hawa mapenzi yao yalikuwa very funny....Sikusoma kitabu cha saba, niliishia cha sita. Kumbe Ronnie alipata shemeji.
I am happy that at last he is connected to the Weasley's family, this is the only family that had showed him love after the loss of his family. Uncle Venon's family were the kindest one.Ndio....na yeye akampata Hermione wakazaa vitoto....hawa mapenzi yao yalikuwa very funny....
Yule mama alifanya vijana wapende kusoma, kwakweli vitabu vilitoka wakati watoto wengi walipoteza connection na book reading. Ulikuwa ulimwengu wa games na gates na yule mama aliweza kuteka mioyo ya watoto irudi tena kwenye vitabu. Alipewa heshima kwa kuinua letaracy level kwa vijana wadogo.Harry Potter.. nimesoma vitabu vyote saba.. tena vingine nilirudia.. mpaka leo bado huwa narudia kuangalia movie zake. Ilifika kipindi nikawa mpaka natoa makosa kwenye kila movie pale ambapo niliona kilichoandikwa sio walicho-act.
For sure I am the biggest fan of HP series..
Though mimi ni Mkristo na ni wazi vile vitabu vinafundisha uchawi ila I can't deny kuwa mwandishi ameviandika kwa ustadi mkubwa sana na Hollywood waliweza sana katika zile movies..
Kitabu cha saba kilikuwa kirefu sana.. na kila tukio lilikuwa important mpaka wakaamua kuwe na movie 2..
Hiki kilichotoka ss hivi sitakisoma nangojea kama wataigiza movie yake..
Nilikuwa mdogo kipindi hicho na English ilikuwa inapiga chenga ila still nilikuwa nasoma na dictionary.
oh yes!Yule mama alifanya vijana wapende kusoma, kwakweli vitabu vilitoka wakati watoto wengi walipoteza connection na book reading. Ulikuwa ulimwengu wa games na gates na yule mama aliweza kuteka mioyo ya watoto irudi tena kwenye vitabu. Alipewa heshima kwa kuinua letaracy level kwa vijana wadogo.
Hahahahaa pole,umenikumbusha mbali sanaNikiwa o level hii muvi kidogo inifukuzishe shule PHILOSOPHER STONE yaani sina hamu nayo maana nimekumbuka machungu ya kukata visiki vya shamba la kahawa
Yani novel yoyote ikifanywa movie huwa inapungua ladha.....Kuna power ya imagination kwakweliNovels ni nzuri kuliko movies!
hii walitakiwa waiache tu ibaki kuwa imaginary story!
lakini kuiweka kwenye movies!,wala hainogi!
imagine Dumbledore na midevu yake sijui nini awe anaonekana inaburuza,akhu!
au Hagrid alivo aaargh mi waaala!
niliinjoi zaidi nilipokuwa nawasoma na kujitengenezea picha kichwani!