Wapenzi wa Harry Potter

Wapenzi wa Harry Potter

Watunzi wa hii story n zaid ya kipaji,mtu unasoma ila movie yoote inajtengeneza kchwan....
Bravo
 
Kistory story, in the real life yule kijana aliyeigiza kama Harry Potter, Daniel Radcliffe alipata pesa nyingi sana kwa kuact kama Harry Potter na alinunua penthouse New York. He is sorted.

Kwenye story hii Harry ndio amemuoa Ginny na wana watoto watatu na Harry anafanya kazi kwemye wizara ya mazingaumbwe yaani Ministry of Magic.

Ila katika movie zote, Ginny alikuwa kila akimwona Harry alikuwa anakuwa mtu wa aibuaibu hivyo ni bora imekuja hii series.

Mwelekeo halisi ya hii hadithi ni kwamba mtoto wa mwisho wa Harry aitwae Albus anakataa kurithi mikoba ya kichawi ya familia na hapo ndipo mauzauza yanapomwandama na kuleta tafrani.
 
Katika series yote kifo cha professor Dumbledore kiliniuma sana mkuu.
 
Ya mkuu wa shule ya uchawi!

Ila ukaribu wake na Gellert Grindelwald siku zote ulikuwa ukiwatia shaka hadhira.
 
Sikujua kama Harry alikuja kumuoa Ginny Weasley dada yake Ron.
Alimuoa kitabu cha saba buanaaaa...Uwii umenikumbusha mbali...nilikuwa soo taken na hii kitu hadi nikaanza kuamini one day my letter itakuja from Hogwarts...smh
 
Sikusoma kitabu cha saba, niliishia cha sita. Kumbe Ronnie alipata shemeji.
 
Ndio....na yeye akampata Hermione wakazaa vitoto....hawa mapenzi yao yalikuwa very funny....
I am happy that at last he is connected to the Weasley's family, this is the only family that had showed him love after the loss of his family. Uncle Venon's family were the kindest one.
 
Harry Potter.. nimesoma vitabu vyote saba.. tena vingine nilirudia.. mpaka leo bado huwa narudia kuangalia movie zake. Ilifika kipindi nikawa mpaka natoa makosa kwenye kila movie pale ambapo niliona kilichoandikwa sio walicho-act.

For sure I am the biggest fan of HP series..

Though mimi ni Mkristo na ni wazi vile vitabu vinafundisha uchawi ila I can't deny kuwa mwandishi ameviandika kwa ustadi mkubwa sana na Hollywood waliweza sana katika zile movies..

Kitabu cha saba kilikuwa kirefu sana.. na kila tukio lilikuwa important mpaka wakaamua kuwe na movie 2..

Hiki kilichotoka ss hivi sitakisoma nangojea kama wataigiza movie yake..

Nilikuwa mdogo kipindi hicho na English ilikuwa inapiga chenga ila still nilikuwa nasoma na dictionary.
 
Yule mama alifanya vijana wapende kusoma, kwakweli vitabu vilitoka wakati watoto wengi walipoteza connection na book reading. Ulikuwa ulimwengu wa games na gates na yule mama aliweza kuteka mioyo ya watoto irudi tena kwenye vitabu. Alipewa heshima kwa kuinua letaracy level kwa vijana wadogo.
 
Novels ni nzuri kuliko movies!
hii walitakiwa waiache tu ibaki kuwa imaginary story!
lakini kuiweka kwenye movies!,wala hainogi!
imagine Dumbledore na midevu yake sijui nini awe anaonekana inaburuza,akhu!
au Hagrid alivo aaargh mi waaala!
niliinjoi zaidi nilipokuwa nawasoma na kujitengenezea picha kichwani!
 
oh yes!
binti yangu ndipo alipoanza kusoma novel kubwa kubwa akaachana na the pooka pooka bee and the like!
 
Hizi movie nilikuwa nazipenda kitambo siku hizi sijui kwanini nimepoteza interest nazo.
Ila ni nzuri kweli.
Now ni vitabu na series ya Game of thrones za kiutu uzima
 
I for once I'm not happy at all with this.
The harry potter chapter was closed. She's a writer can't she come up with something different? something new even if it involves the world of magic, same old stuffs get boring after a while.
 
Nikiwa o level hii muvi kidogo inifukuzishe shule PHILOSOPHER STONE yaani sina hamu nayo maana nimekumbuka machungu ya kukata visiki vya shamba la kahawa
Hahahahaa pole,umenikumbusha mbali sana
 
Hivi vitabu vinapenya huku kwetu lakini nimeuliza shule kadhaa za huku kuhusu watuzni kama Ngugi wa Thiong'o na wengine wengi wa Africa..hakuna hata mwalimu wa literature ameshawahi wasikia.. I guess we just overaye these whites' life.

Anyway mm napenda zile plays za akina romeo & juliet, The capulets etc
 
Novels ni nzuri kuliko movies!
hii walitakiwa waiache tu ibaki kuwa imaginary story!
lakini kuiweka kwenye movies!,wala hainogi!
imagine Dumbledore na midevu yake sijui nini awe anaonekana inaburuza,akhu!
au Hagrid alivo aaargh mi waaala!
niliinjoi zaidi nilipokuwa nawasoma na kujitengenezea picha kichwani!
Yani novel yoyote ikifanywa movie huwa inapungua ladha.....Kuna power ya imagination kwakweli
 
Back
Top Bottom