Wapenzi wa jinsia moja waliotoroka kambi ya wakimbizi Kakuma warejeshwa

Wapenzi wa jinsia moja waliotoroka kambi ya wakimbizi Kakuma warejeshwa

Kurzweil

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2011
Posts
6,621
Reaction score
8,411
Kundi la watu wanaojihusisha na mapenzi ya jinsia moja waliotoroka katika Kambi ya Wakimbizi ya Kakuma wamerudishwa katika kambi hiyo

Watu hao walitoroka katika kambi hiyo ya Kakuma kwa madai kuwa walikuwa walengwa wa matukio ya ubaguzi dhidi yao, wamekamatwa Nairobi na wamerudishwa katika kambi hiyo

Walitoroka katika kambi hiyo baada ya maafisa wanaosimamia Kambi ya Kakuma kueleza kuwa hawako tayari kuwalinda watu wanaojihusisha na vitendo hivyo

Kufuatia sakata hilo, Umoja wa Mataifa umeahidi kutoa ulinzi dhidi ya watu hao
 
Usikute wewe ndiyo uliyekimbia uko na mmeo
Siku nyingine angalia wakuwekanae ligi ya matusi ulipotea njia naamini[emoji23][emoji23][emoji23]wengine tuna stress zakukosa kazi tunakula Na kulala Kwa wazazi kende la nyani wewe ukichamba uniite
Nyete
 
Back
Top Bottom