Wapenzi wa Jukwaa hili! Mahusiano,mapenzi,urafiki.

Wapenzi wa Jukwaa hili! Mahusiano,mapenzi,urafiki.

nimepima Kakakiiza kama dkk 25 zilizopita
nahamasisha na wenzangu kupima afya zao

dada FL1nilijua umeolewa na una mume???haya mambo ya kupima hata nyie wanandoa mnayafanya????😱
 
dada FL1nilijua umeolewa na una mume???haya mambo ya kupima hata nyie wanandoa mnayafanya????😱

Kupima ni confirmatory test ya mienendo ya mwenzi wako
 
Je kuna kati ya wapenzi wa jukwa hili ameenda kupima VVU??leo ni 1,Dec,2010 siku ya ukimwi Duniani Mimi nipo hapa nanenane morogoro nacheki ngoma!!je wewe??😛ainkiller:
red bold:MAJIBU PIA ULETE
 
Back
Top Bottom