Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naomba link ya group nijiungeMb 200 siku nzima fungua account kabisa nikupe na I'd pia tuna group la whatsapp players wengi wa east Africa tupo uko
200mb inatosha kwa siku nzima. Hapo kama hakuna updates.Kulicheza kwa cku linakuhitaji gb ngap
UID: 5427699144Mb 200 siku nzima fungua account kabisa nikupe na I'd pia tuna group la whatsapp players wengi wa east Africa tupo uko
Ngoja nikatafuteYako mengi mkuu Pc yako ina GPU ya kutosha
1.Ghost recon
2.call of duty black ops
3.battle field 4
4. Medal of honor
Izo ni baadhi ya game za pc
Za cm hiz hapa
1.Brother in Arms
2.Cover fire
3.PUGB
Kiufupi game ziko nyingi sana mkuu izo ni haadhi tu
GTA zipo nying mzee ipi unayoizungumziaGame pekee ninayocheza kwenye pc yangu na kwenye Tv ni GTA
Yaani nafanya nitakavyo
0768650119Mb 200 siku nzima fungua account kabisa nikupe na I'd pia tuna group la whatsapp players wengi wa east Africa tupo u
Mkuu naomba uni-addKaka Naomba ni add kwenye ilo group @ 0682018204
0685236369Mb 200 siku nzima fungua account kabisa nikupe na I'd pia tuna group la whatsapp players wengi wa east Africa tupo uko