Master of the game
JF-Expert Member
- Sep 1, 2016
- 5,858
- 2,697
Nicheki whatsapp mkuu nikutumie kule utakua na uhuru zaidi nikileta hii ukisema hii hapana naleta nyengine mpaka upate uipendayoKaka naitafta namba D sema nioisahau kukwambia no,ukipata nitag boss
Hapana mkuu, namba C ni 7.5Mmkuu naweza pata ist namba c kwa 5 m?
Ntumie kwenye whatsap yangu hii istToyota Ist
Mwaka:2003
1290CC
Bei:7.5M
Mawasiliano :0689699704View attachment 699771View attachment 699772View attachment 699773View attachment 699774
TayariNtumie kwenye whatsap yangu hii ist
Ova
Hii Suzuki Escudo bado ipo?Suzuki escudo
1590CC
Automatic
Petrol
Bei:5.5M
Mawasiliano :0689699704View attachment 698270View attachment 698273View attachment 698277
Ndio mkuu, ipoHii Suzuki Escudo bado ipo?
Hiyo gari iko vizur mkuu..Hii nmeipenda aisee, kweli awamu hii kushindwa kumiliki gari tu ni uzembe wa hali ya juu.
Hii Cami inapatikana wapi mkuu ? Km ngapi imetembea.Toyota Cami
Mwaka:2003
1300CC
Bei:6.5M
Mawasiliano :0689699704View attachment 698518View attachment 698519View attachment 698520
Ishatoka hii mkuuHii
Hii Cami inapatikana wapi mkuu ? Km ngapi imetembea.
Dah, poa ngoja niendelee kuuufuatilia uzi huu bila Hata mie nitapata kimkoko cha kunifaa.Ishatoka hii mkuu
Kamata hiyo Cami bei ile ile 6.5MDah, poa ngoja niendelee kuuufuatilia uzi huu bila Hata mie nitapata kimkoko cha kunifaa.