Car4Sale Wapenzi wa magari mazuri msiache kupitia huu uzi ili kuuza au kununua

Car4Sale Wapenzi wa magari mazuri msiache kupitia huu uzi ili kuuza au kununua

Status
Not open for further replies.
Mark11 Grande
Gx110
Beams :2000
1998CC
Bei:7.5M (fixed)
Mawasiliano:0689699704
1e971856c15b9e823d9a4460d078d9c0.jpg
032b1e4167c19cf0e0a848a799b5edb9.jpg
8c7b449edd955b57fa989a61f020947f.jpg
 
Mkuu mpo vizuri, inabidi ufungue website ili iwe rahisi kuzicheki huko na kuwasiliana nawe bila kuwa na maswali mengi hasa kwa sisi wazee wa kuchangisha mpaka zijae.
 
Mimi natamani sana kumiliki BMW Series 1 hatchback iwe na rangi nzuri kama pearl white au light purple. Ama hata ya blue.

Siku ukiipata hiyo nitag fasta tukae mezani.
 
Carina Ti
Gari haijarudiwa rangi
Haina scratch
Nzima kabisa unawasha na kuondoka
Bei:7M
Mawasiliano:0689699704
285ba124c8de7ab389c2587e29f573c3.jpg
1ff80e4063b675c3c52d8aeacd543dc0.jpg
2da0960144bb924e66490da36b31155d.jpg
4a8a964de94891c4f0c9aff659346f27.jpg
 
Daihatsu mira
Oil consumption ni kama Passo
Fresh From nje, njoo tukufungie namba uichukue kwa 4.5M
Ni 4.5M
Mawasiliano :0689699704
038abf8826317aee64488e38681b9359.jpg
043956840f57465c7b20596ed3ffcad5.jpg
2ad2caae629c0d6ab46a9588c238e823.jpg
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom