Master of the game
JF-Expert Member
- Sep 1, 2016
- 5,858
- 2,697
Toyota Harrier
2190CC
5s engine, 4cylinder
Bei:12M
Mawasiliano :0689699704
2190CC
5s engine, 4cylinder
Bei:12M
Mawasiliano :0689699704
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jeep wrangler
Mwaka:2015
2500CC
Petrol
Bei:95M
Mawasiliano:0689699704View attachment 689468View attachment 689469View attachment 689470View attachment 689471View attachment 689472View attachment 689473
Million 4 vipi kwa hii gari, ukizingatia ni oldest model/version.Carina Ti
Gari haijarudiwa rangi
Haina scratch
Nzima kabisa unawasha na kuondoka
Bei:7M
Mawasiliano:0689699704![]()
![]()
![]()
![]()
Unamjua mmiliki hyo gari mkuuToyota Sienta
70000Km
Bei:8.5M
Mawasiliano :0689699704![]()
![]()
![]()
![]()
Ameni mkuu IPO sikuIpo siku na mimi zitanitembelea nitakuja kuchagua moja hapa, Mungu mkubwa.
Chukua hii kwa 5MMkuu nikija na 4.5 siwezi pata vits rs nzuri Master of the game
Ipo mkuu, ni petrolMkuu hii bado ipo? Je ni engine ya diesel?
Hapana mkuu, hailipiMillion 4 vipi kwa hii gari, ukizingatia ni oldest model/version.
Mungu atakufanikishaIpo siku na mimi zitanitembelea nitakuja kuchagua moja hapa, Mungu mkubwa.
Land Rover DefenderWakuu natafuta Jeep au land rover defender kwa ajili ya kazi za tour
We n polisi au mlinzi kampuni Fulani nn? Umeathirika na kaz yako Mjomba, kila post OVA, acha hizo!Hyo passo ya 4.5 Nipe data zake zaidi
Ova
Hakuna ubishi kuwa wahindi tunajua route na utunzaji wa Magari yao bwana, acha ubishi usio na Tija, mhindi hana tabia za kuazimisha Magari wala mizunguko isiyokuwa ya lq lazima, wewe km unadhani n ubaguzi basi poleUsilete ubaguzi kwenye biashara tafadhali, hiyo kitu haikubaliki popote pale duniani... kama mtu amependa gari iliyo tangazwa, atapewa data ya ziada baadaye kwamba mmiliki ni wa kabila au rangi and jinsia gani...na hapo mwenyewe muuzaji ana haki ya kumjulisha kwamba, kwa mfano, ilikuwa ni ya mchina fulani, na huwa wachina hawatunzi magari kwa sababu wanaagiza spare feki kutoka kwao ilimradi wa save pesa na siku zisogee..
I hope I'm clear, kwani sio wahindi au wanawake wote ni watunzaji wazuri wa magari na sio waswahili au wanaume wote ni waharibifu wa magari...
Lets change our mindsets... its high time...