Master of the game
JF-Expert Member
- Sep 1, 2016
- 5,858
- 2,697
Ngoja niivizie hii, uzuri wake n kwamba hii gari inaonekana ilikuwa inamilikiwa na mwanamke, ujue wanawake n watunzaji wazuri wa Magari! Iko wapi hii gari kaka?Kamata hiyo Cami bei ile ile 6.5M
Inatembea? Naona kama ilishapata accident kubwa?Rav4 3 doors
Manual
Bei:4.5M
Mawasiliano :0689699704
Salasala hiyo mkuu njoo uimalize fasterNgoja niivizie hii, uzuri wake n kwamba hii gari inaonekana ilikuwa inamilikiwa na mwanamke, ujue wanawake n watunzaji wazuri wa Magari! Iko wapi hii gari kaka?
Gari inatembea haina tatizo ila ni manualInatembea? Naona kama ilishapata accident kubwa?
Bei?Landcruiser V8
USD 50000Bei?