Hahahahahaha hapana swaga tu mkuuWe n polisi au mlinzi kampuni Fulani nn? Umeathirika na kaz yako Mjomba, kila post OVA, acha hizo!
Poa mkuu!Hahahahahaha hapana swaga tu mkuu
Mbona Master of the Game ananijua physical hahaha umenifurahisha sana mkuu
Ova
PamojaPoa mkuu!
Roja
Ova
Readable
Send
Timamu
Aaa nimekusoma tano tano tano
Sawa mkuu.Mungu atakufanikisha
Mkuu je na land cruiser kwa ajili ya tour bei yake ngapi?Land Rover Defender
Engine 300 TDI
Ipo Moshi
Bei:17M
Mawasiliano :0689699704
Usijali mkuu kuna hiiMkuu je na land cruiser kwa ajili ya tour bei yake ngapi?
Usinichoke nafanya comparison ya bei na ubora kipi zaidi .
Mkuu hii ipo mkoa gani na namba ya simu ndo hiyo hiyo uliyonipa hapo kwenye post la land rover?Usijali mkuu kuna hii
Landcruiser
1hdt turbo
12 valves
1234000kms
Bei:27M
Nakitaka iki kipic sema sina miaRav4 3 doors
Manual
Bei:4.5M
Mawasiliano :0689699704
Bei ya bodabodaNissan March
Mwaka:2003
1240CC
Bei:2.8M
Mawasiliano :0689699704
Sasa unataka msaada mkuuuNakitaka iki kipic sema sina mia
Hahaha jamaa anatishaWe n polisi au mlinzi kampuni Fulani nn? Umeathirika na kaz yako Mjomba, kila post OVA, acha hizo!
Haki ya MUNGU!Jamani tusipoendesha tena magari basi
Hii ina tatizo gani mkuu?Toyota GX100
1980CC
Bei:2.5M
Mawasiliano :0689699704
Toyota AltezzaWapi alteza gari pendwa