Half Genious
JF-Expert Member
- Feb 28, 2017
- 491
- 784
Namba BT ipo, kila kitu kinafanya kazi, plus mziki mnene. 3.9mHuna cresta gx100 namba C au D
PichaNamba BT ipo, kila kitu kinafanya kazi, plus mziki mnene. 3.9m
Mbeya hiiFuso bus
Engine mbele
Bei:50M
Mawasiliano :0689699704
. Ungeweka picha za ndani ingependeza zaidi.Rav4 L
1990CC
Bei:8M
Mawasiliano u:0689699704
Kutoka Japan unaweza kuagiza kwa milioni 20 na zilizotumika Tanzania itakua chini ya hapo kulingana na muda ambao imetumikaMaster of the game Suzuki escudo ya 2003 toka Japan zinafika bei gani?
na used ya hapa Je?
Cresta gx100 mkuuToyota Mark 11 Gx110
1998CC
Bei:7M
Mawasiliano :0689699704
Master bado IPO hii Ist?Toyota Ist namba D kwa 8M
Ni 1290CC
Nipigie :0689699704
Tayari imeuzwa mkuuMaster bado IPO hii Ist?