Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Itakuwa vyema akiweka hapa ili kila MTU ajipime,NA HII NATANGAZA NIA, NITUMIE INBOX MILAGE NA PICHA YA NDANI PLEASE.
Master hii kitu bado ipoToyota Ist
Mwaka:2006
1490CC
Forg light
Sport rims (low profile)
Reverse camera
New tyres
Price :10.7M
Contact :0689699704![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
10mToyota Hiace
2rz engine
Petrol
Manual
Bei:17.5M
Mawasiliano :0689699704View attachment 698467View attachment 698468View attachment 698469
Duu ina shida ganBrevis namba C kwa 5.5M
Inauzwa haraka
Mawasiliano :0689699704View attachment 714032View attachment 714033
Asante sana mkuu, nitajitahidi kuboresha zaidi kuliko hata nilivyokua nafanya awali, lengo ni kwenda mbele na sio kurudi nyuma.Mkuu picha za ndani ni muhimu sana kuliko za nje nionavyo Mimi, Ndani ni rahisi kujua hali ya gari ilivyo imechoka sana au laa, Ulianza vzr lakini sasa kadri inavyoenda naona unapunguza uzito wa tangazo lako. Mfano mwanzo uliweka detail za gari , km ngapi imetembea n.k lakini sasa yote umeyaacha. Usitegemee sana watu waje inbox Pm wengi huwa hawapendi sana.
Chukua USHAURI Kama utakufaa.
Asante sana mkuu, nitajitahidi kuboresha zaidi kuliko hata nilivyokua nafanya awali, lengo ni kwenda mbele na sio kurudi nyuma. Kwa mfano hiyo RAV 4 NA HARRIA HUWEZI UKAPATA PICHA ZAKE ZA NDANI,?
Ushauri wako ni muhimu sana kuanzia sasa naufanyia kazi
Nitajie mamba zake za usajiliMfano ile haria na RAV 4 HUWEZI UKATUWEKEA PICHA ZAKE NA DETAIL ZAKE?
Ipo mkuu, nipigie 0689699704Master hii kitu bado ipo
Haina shida mkuu wacha nikuongezee details zakeDuu ina shida gan
Waambie pia wanaotaka magari wakati mwingine wajiongeze waje kuyaona magari physical......haya Mambo ya picha picha SyoAsante sana mkuu, nitajitahidi kuboresha zaidi kuliko hata nilivyokua nafanya awali, lengo ni kwenda mbele na sio kurudi nyuma.
Ushauri wako ni muhimu sana kuanzia sasa naufanyia kazi
Waambie pia wanaotaka magari wakati mwingine wajiongeze waje kuyaona magari physical......haya Mambo ya picha picha Sy
Master unaikumbuka ile noah new model ulipostiwaga Humu rangi ya silver......dadeki watu wakatia timu kwenda ikagua kitu tofauti na picha iliyowekwa Ilikuwa full Vituko....namstai tu hyo mwana Jf Humu....aliyeiweka
Teh Teh
Ova