Car4Sale Wapenzi wa magari mazuri msiache kupitia huu uzi ili kuuza au kununua

Car4Sale Wapenzi wa magari mazuri msiache kupitia huu uzi ili kuuza au kununua

Status
Not open for further replies.
Mkuu Master kama ukiona inakupendeza uwe unaweka na mahari ilipo gari. Au zako zipo dar tu? Maana inaweza kua ipo mkoani kwangu ikanihamasisha zaidi
 
Brevis namba C kwa 5.5M
Inauzwa haraka
Mawasiliano :0689699704
IMG-20180313-WA0092.jpg
IMG-20180313-WA0098.jpg
 
Mkuu picha za ndani ni muhimu sana kuliko za nje nionavyo Mimi, Ndani ni rahisi kujua hali ya gari ilivyo imechoka sana au laa, Ulianza vzr lakini sasa kadri inavyoenda naona unapunguza uzito wa tangazo lako. Mfano mwanzo uliweka detail za gari , km ngapi imetembea n.k lakini sasa yote umeyaacha. Usitegemee sana watu waje inbox Pm wengi huwa hawapendi sana.
Chukua USHAURI Kama utakufaa.
 
Nahitaji noah new model nyeusi iwe gari nzuri kuanzia body hadi engen,inatakiwa rangi nyeusi # D iwe mteja ana 8.5m

Ova
 
Mkuu picha za ndani ni muhimu sana kuliko za nje nionavyo Mimi, Ndani ni rahisi kujua hali ya gari ilivyo imechoka sana au laa, Ulianza vzr lakini sasa kadri inavyoenda naona unapunguza uzito wa tangazo lako. Mfano mwanzo uliweka detail za gari , km ngapi imetembea n.k lakini sasa yote umeyaacha. Usitegemee sana watu waje inbox Pm wengi huwa hawapendi sana.
Chukua USHAURI Kama utakufaa.
Asante sana mkuu, nitajitahidi kuboresha zaidi kuliko hata nilivyokua nafanya awali, lengo ni kwenda mbele na sio kurudi nyuma.
Ushauri wako ni muhimu sana kuanzia sasa naufanyia kazi
 
Mkuu Master,VW Touran showroom zipo na bei gani?
Subaru Forester ya mwaka 2005-2007 (non turbo,nadhani CBS Engine) show room zipo na bei zake kama unazo.Je pia zipo za mikononi? Nitashukuru
 
Asante sana mkuu, nitajitahidi kuboresha zaidi kuliko hata nilivyokua nafanya awali, lengo ni kwenda mbele na sio kurudi nyuma.
Ushauri wako ni muhimu sana kuanzia sasa naufanyia kazi
Waambie pia wanaotaka magari wakati mwingine wajiongeze waje kuyaona magari physical......haya Mambo ya picha picha Syo
Master unaikumbuka ile noah new model ulipostiwaga Humu rangi ya silver......dadeki watu wakatia timu kwenda ikagua kitu tofauti na picha iliyowekwa Ilikuwa full Vituko....namstai tu hyo mwana Jf Humu....aliyeiweka
Teh Teh

Ova
 
Waambie pia wanaotaka magari wakati mwingine wajiongeze waje kuyaona magari physical......haya Mambo ya picha picha Sy
Master unaikumbuka ile noah new model ulipostiwaga Humu rangi ya silver......dadeki watu wakatia timu kwenda ikagua kitu tofauti na picha iliyowekwa Ilikuwa full Vituko....namstai tu hyo mwana Jf Humu....aliyeiweka
Teh Teh

Ova

Kwa hiyo MTU atoke sumbawanga aje Dar kuona gari kisha arudi tena sumbawanga?/

We kweli upo sawa sawa?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom