Hebu ilete hapa na Maelezo yake ikiwa hutajaliZipo mkuu, nicheki whatsapp 0689699704.
Hii imekula Km ngapi?
143211kmHii imekula Km ngapi?
Hii hapa mkuu inataka milioni 8Mkuu Toyota Ipsum hazipatikani? Vp make cjawai kuziona humu.
Nikutafutie ila itabid uongeze hela..zinawza kuapatiakana.!Mkuu master! Nitapata land cruiser pick up macho ya panzi iwe double cabin ama single? Pesavniliyonayo ni 25 milioni. Je nitapat?
Mkuu niunge tela? Nikutafutie kuna moja nimeuza juz ilikiwa kasulu ya UN huwa wanauza gari zao?Mkuu ni ngumu sana, hapa nilipo nina wiki ya pili namtafutia mtu macho ya panzi kwa budget ya 40M na sijapata mpaka leo
Sawa fanya hivyo, 0689699704 namba yangu hiyoMkuu niunge tela? Nikutafutie kuna moja nimeuza juz ilikiwa kasulu ya UN huwa wanauza gari zao?
Nitumie msg whatsapp mkuu tujipange tenaMaster of the game, ile toyota isis bado ipo vipi hujapata mteja tu?
Mkuu ina ccc ngapi hiyo ipsumHii hapa mkuu inataka milioni 8View attachment 728780View attachment 728781View attachment 728784View attachment 728785View attachment 728788
Chief hii Ndinga haina shida yoyote?Nissan Xtrail
Mwaka:2003
Bei:7.5M
Mawasiliano :0689699704View attachment 729666View attachment 729667View attachment 729668View attachment 729669
Asante mkuu kwa ushauriUwe unaweka na mileage mkuu usisubiri mtu aulize. Ni ushauri tu
2362CCMkuu ina ccc ngapi hiyo ipsum
Haina tatizo chiefChief hii Ndinga haina shida yoyote?
Mbona kama bei iko chini sana! au kwavili ni C?