Master of the game
JF-Expert Member
- Sep 1, 2016
- 5,858
- 2,697
Toyota Prado kwa 6.5M
Ni ya mwaka :1997
1kz engine
Imerudiwa rangi
Mwenye ana shida
Ni ya mwaka :1997
1kz engine
Imerudiwa rangi
Mwenye ana shida
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu ni ngumu sana, hapa nilipo nina wiki ya pili namtafutia mtu macho ya panzi kwa budget ya 40M na sijapata mpaka leoMkuu master! Nitapata land cruiser pick up macho ya panzi iwe double cabin ama single? Pesavniliyonayo ni 25 milioni. Je nitapat?
Mkuu ni ngumu sana, hapa nilipo nina wiki ya pili namtafutia mtu macho ya panzi kwa budget ya 40M na sijapata mpaka leo
Ni mipango yake mungu, ipo siku atakumilikisha na wewe ndinga ya maanaKwa bei hizi ambao hatuna ndingaz labda tumejitakia wenyewe.
Sijaelewa kabisa hebu toa ufafanuziJamani haya mrembo huyu hapa. Baiby huyu anavutia sana yaani nataka kumuona na ataweza kumchukua. Na kwa Jina Anaitwa IST
IST inauzwa hio mkuuSijaelewa kabisa hebu toa ufafanuzi
Bei gani kufungaTaarifa zote kuhusu gari lako utazipata kupitia simu yako ya mkononi kwa njia ya ujumbe mfupi wa maandishi,email au google map kwenye simu yako au kompyuta. Wasiliana na I Secure Technology kwa huduma za GPS TRACKER kwa ulinzi madhubiti wa gari lako![]()
Daah hili sikuliona aisee.Prado Tx
1kz engine
Petrol
Bei:19.5M
Mawasiliano:0689699704
View attachment 692414View attachment 692416View attachment 692417View attachment 692418View attachment 692419