Car4Sale Wapenzi wa magari mazuri msiache kupitia huu uzi ili kuuza au kununua

Car4Sale Wapenzi wa magari mazuri msiache kupitia huu uzi ili kuuza au kununua

Status
Not open for further replies.
Toyota Prado kwa 6.5M
Ni ya mwaka :1997
1kz engine
Imerudiwa rangi
Mwenye ana shida
IMG-20180325-WA0019.jpg
IMG-20180325-WA0020.jpg
IMG-20180325-WA0021.jpg
IMG-20180325-WA0024.jpg
 
Mkuu master! Nitapata land cruiser pick up macho ya panzi iwe double cabin ama single? Pesavniliyonayo ni 25 milioni. Je nitapat?
 
Toyota vits new model
Ni namba b lakini imekaza kuliko C nyingi.
Kikubwa zaidi ina km 97000tu!
Ni model ya mwaka 2006
990CC
Bei:5.5M fixed
Ipo kitunda Dar es salaam ukiwa serious tunaweza kukusogezea
Mawasiliano:0689699704
FB_IMG_1521997748591.jpg
FB_IMG_1521997751569.jpg
FB_IMG_1521997761188.jpg
 
Hizo ni bei za showroom! Late bei zinazovutia walaji au inafikiri kutuletea mapicha na bei za kupiga ndo uonekane mjanja?
 
Jamani haya mrembo huyu hapa. Baiby huyu anavutia sana yaani nataka kumuona na ataweza kumchukua. Na kwa Jina Anaitwa IST
 

Attachments

  • IMG-20180326-WA0116.jpg
    IMG-20180326-WA0116.jpg
    49.3 KB · Views: 81
  • IMG-20180326-WA0119.jpg
    IMG-20180326-WA0119.jpg
    50.6 KB · Views: 67
  • IMG-20180326-WA0120.jpg
    IMG-20180326-WA0120.jpg
    50.6 KB · Views: 68
  • IMG-20180326-WA0117.jpg
    IMG-20180326-WA0117.jpg
    62.4 KB · Views: 61
  • IMG-20180326-WA0118.jpg
    IMG-20180326-WA0118.jpg
    60.8 KB · Views: 65
  • IMG-20180326-WA0120.jpg
    IMG-20180326-WA0120.jpg
    50.6 KB · Views: 57
2965b2cbd88d16a5f2e53c797d51689e.jpg
Taarifa zote kuhusu gari lako utazipata kupitia simu yako ya mkononi kwa njia ya ujumbe mfupi wa maandishi,email au google map kwenye simu yako au kompyuta. Wasiliana na I Secure Technology kwa huduma za GPS TRACKER kwa ulinzi madhubiti wa gari lako
Bei gani kufunga
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom