Master of the game
JF-Expert Member
- Sep 1, 2016
- 5,858
- 2,697
Toyota Noah sr40
Mwaka:2000
1990CC
Bei:9.8M
Mawasiliano :0689699704
Mwaka:2000
1990CC
Bei:9.8M
Mawasiliano :0689699704
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tatizo hujibu texts ukitumiwa kwa hyo namba,hii si picha nzuri kutokutoa ushirikiano wa mawasiliano very dissappointed nmekutext juzi nikiulizia altezza hujajibu kitu hadi leo,,katika biashara positive responce and accurate feedback are very essential.Toyota Altezza
Mwaka:1999
1980CC
48000Km
Bei:8.5M
Mawasiliano :0689699704View attachment 750974View attachment 750975View attachment 750976View attachment 750977View attachment 750978View attachment 750979View attachment 750980
Samahani sana mkuu najitahidi sana kua active hasa kwa mtu ambae ametumia muda wake kuchukua namba yangu na kunitafutaTatizo hujibu texts ukitumiwa kwa hyo namba,hii si picha nzuri kutokutoa ushirikiano wa mawasiliano very dissappointed nmekutext juzi nikiulizia altezza hujajibu kitu hadi leo,,katika biashara positive responce and accurate feedback are very essential.
Pia huwa husomi au hujibu meseji za inbox???!!!!Samahani sana mkuu najitahidi sana kua active hasa kwa mtu ambae ametumia muda wake kuchukua namba yangu na kunitafuta
Binadamu mkuu hatujakamilika ndio maana text yako imenipita... Naomba unisamehe sana mkuu halafu bahati mbaya zaidi imeuzwa hiyo tezza
Hata hivyo naweza kutafutia nyengine yenye viwango kama hiyo... Naisaka sms yako sasa hivi yani hapa ndio umenishtua sijaiona kabisa
Narudia tena mkuu samahani sana..bahati mbaya tu sijaona text yako ila hua nachat sana na wateja wangu wa Jf, tunaweza kuchat hata kwa muda wa mwezi ndipo tufanikishe biashara.
Pm najibu mkuu au kuna msg yako sijajibu?Pia huwa husomi au hujibu meseji za inbox???!!!!
Piga kazi mkuu.Samahani sana mkuu najitahidi sana kua active hasa kwa mtu ambae ametumia muda wake kuchukua namba yangu na kunitafuta
Binadamu mkuu hatujakamilika ndio maana text yako imenipita... Naomba unisamehe sana mkuu halafu bahati mbaya zaidi imeuzwa hiyo tezza
Hata hivyo naweza kutafutia nyengine yenye viwango kama hiyo... Naisaka sms yako sasa hivi yani hapa ndio umenishtua sijaiona kabisa
Narudia tena mkuu samahani sana..bahati mbaya tu sijaona text yako ila hua nachat sana na wateja wangu wa Jf, tunaweza kuchat hata kwa muda wa mwezi ndipo tufanikishe biashara.
Asante mkuu... Karibu sanaMaster of the game saafi Sana. Umefanya la maana Sana.
Asante mkuu.. Karibu sanaPiga kazi mkuu.