Car4Sale Wapenzi wa magari mazuri msiache kupitia huu uzi ili kuuza au kununua

Status
Not open for further replies.
Tatizo hujibu texts ukitumiwa kwa hyo namba,hii si picha nzuri kutokutoa ushirikiano wa mawasiliano very dissappointed nmekutext juzi nikiulizia altezza hujajibu kitu hadi leo,,katika biashara positive responce and accurate feedback are very essential.
 
Samahani sana mkuu najitahidi sana kua active hasa kwa mtu ambae ametumia muda wake kuchukua namba yangu na kunitafuta

Binadamu mkuu hatujakamilika ndio maana text yako imenipita... Naomba unisamehe sana mkuu halafu bahati mbaya zaidi imeuzwa hiyo tezza

Hata hivyo naweza kutafutia nyengine yenye viwango kama hiyo... Naisaka sms yako sasa hivi yani hapa ndio umenishtua sijaiona kabisa

Narudia tena mkuu samahani sana..bahati mbaya tu sijaona text yako ila hua nachat sana na wateja wangu wa Jf, tunaweza kuchat hata kwa muda wa mwezi ndipo tufanikishe biashara.
 
Pia huwa husomi au hujibu meseji za inbox???!!!!
 
Piga kazi mkuu.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…