Master of the game
JF-Expert Member
- Sep 1, 2016
- 5,858
- 2,697
Ni ngumu sana kwa upande wangu kupata chini ya 30MMkuu hiyo 30M haipungui?Pia Kama namba D na C ni Tsh ngapi?
Na Je Hizi gari ambazo sio za Showroom zina Uimara Kweli?
Hii hapa namba D ipo vizuriMaster of the game,
Nipe bei ya toyota voltz ya showroom.
Je hapo ipo iliyo ktk hali nzur
Inaenda sh ngap?
Kilomita ngapi hii imefika na cc yake.
Mkuu itakua vizuri tukiwasiliana kwa ukaribu kupitia whatsapp ili tufanikishe hilo zoeziKwa kifupi iwe namba D
Iwe katika hali nzuri
Unaweza weka picha na bei take
Na specifications zake
Ahsante
Mkuu itakua vizuri tukiwasiliana kwa ukaribu kupitia whatsapp ili tufanikishe hilo zoezi
kama itakua ngumu kwako basi nijulishe unataka automatic au manual
167000km... 3000CCKilomita ngapi hii imefika na cc yake.