Car4Sale Wapenzi wa magari mazuri msiache kupitia huu uzi ili kuuza au kununua

Car4Sale Wapenzi wa magari mazuri msiache kupitia huu uzi ili kuuza au kununua

Status
Not open for further replies.
Mkuu hiyo 30M haipungui?Pia Kama namba D na C ni Tsh ngapi?
Na Je Hizi gari ambazo sio za Showroom zina Uimara Kweli?
Ni ngumu sana kwa upande wangu kupata chini ya 30M
Namba D na C zinaweza kufika 20M kuanzia 27M

Uimara wa gari inategemea mtumiaji alikua mtunzaji kiasi gani na kabla ununue ni lazima ufanyike ukaguzi na fundi ajiridhishe kama ipo vizuri

Niambie mkuu budget yako ni sh ngapi tuitafute yenye hali nzuri
 
Suzuki Every
Mwaka:2007
650CC
Petrol
Bei:6.5M
Mawasiliano :0689699704
IMG-20180425-WA0089.jpg
IMG-20180425-WA0091.jpg
 
Master of the game,
Nipe bei ya toyota voltz ya showroom.
Je hapo ipo iliyo ktk hali nzur
Inaenda sh ngap?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom