Au aje PMHabari za leo
Natafuta gari TOYOTA CROWN ATHLETE SERIES
Mwaka: Kati ya 2004 mpaka 2008
Engine isizidi 2500Cc
Iwe ni 4WD (Kwa sababu mara chache chache huwa nasafiri kwenye barabara zenye vilima korofi na zenye utelezi)
BEI IWE RAHISI SANA
Kama kuna muuzaji wa magari mwenye gari yenye sifa hizo hapo juu anipatie namba yake tuwasiliane!