Au aje PMHabari za leo
Natafuta gari TOYOTA CROWN ATHLETE SERIES
Mwaka: Kati ya 2004 mpaka 2008
Engine isizidi 2500Cc
Iwe ni 4WD (Kwa sababu mara chache chache huwa nasafiri kwenye barabara zenye vilima korofi na zenye utelezi)
BEI IWE RAHISI SANA
Kama kuna muuzaji wa magari mwenye gari yenye sifa hizo hapo juu anipatie namba yake tuwasiliane!
4 kamili ipo mfuko wa shati.Suzuki Escudo
Manual
Tairi zote mpya
Bei:5500000/=(Milioni tano na laki tano)
Mawasiliano:0689699704View attachment 811698View attachment 811701View attachment 811703View attachment 811704
Milioni 4 haitoshi boss4 kamili ipo mfuko wa shati.
Chief hii bado ipo??Toyota RAV4
3s Engine
Bei:7.8
Mawasiliano:0689699704View attachment 823598View attachment 823599View attachment 823600View attachment 823601View attachment 823602View attachment 823603View attachment 823604
Ipo mkuu njoo haraka uichukueChief hii bado ipo??
Nicheki mkuu tuichangamkie 0658124554Master inahitajika Scania 113 tipper yenye hali nzuri double diff mpaka kufikia tar 13 mwez huu