Car4Sale Wapenzi wa magari mazuri msiache kupitia huu uzi ili kuuza au kununua

Car4Sale Wapenzi wa magari mazuri msiache kupitia huu uzi ili kuuza au kununua

Status
Not open for further replies.
Toyota Prado Mayai
Petrol
Bei: Milioni 10.5
Mawasiliano:0658124554
IMG-20180823-WA0015.jpg
IMG-20180823-WA0017.jpg
IMG-20180823-WA0014.jpg
IMG-20180823-WA0011.jpg
IMG-20180823-WA0010.jpg
IMG-20180823-WA0012.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari wakuu Nina wazungu wangu kutoka ulaya wanakuja mwezi wa 11, walikuwa wanataka gari ya kukodisha waendeshe kutoka Arusha to DSM watakaa nayo kwa siku 5, hivyo wanatafuta kampuni itayoweza kuwakodishia hiyo mambo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapana boss panakuhusu sana sababu sio watu wanaomiliki magari wanamiliki viwanja.
Kumiliki gari ni swala la vipaombele tu halafu gari zenyewe hata ukiwa na milioni 2 au 3 hivi unasukuma ndinga mjini hapa..kwanini sasa pasikuhusu.

Hata ukiona tu picha za gari hivi na bei zake ni faraja tosha,inakupa moyo

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa kweli kaka,iLA zinatamanisha, kama una moyo mwepesi unaweza pita shortcut😯😯
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom