Master of the game
JF-Expert Member
- Sep 1, 2016
- 5,858
- 2,697
Hii Mark X kaanzia Milioni 9 njoo ukague gari ujiridhishe kisha mazungumzo yafanyikeView attachment 844924View attachment 844922View attachment 844923Wakuu nahitaji mark x,
Offer yangu ni 8M. Ikiwa nyeusi namba D itapendeza zaidi.
Kwa kweli kaka,iLA zinatamanisha, kama una moyo mwepesi unaweza pita shortcut😯😯Hapana boss panakuhusu sana sababu sio watu wanaomiliki magari wanamiliki viwanja.
Kumiliki gari ni swala la vipaombele tu halafu gari zenyewe hata ukiwa na milioni 2 au 3 hivi unasukuma ndinga mjini hapa..kwanini sasa pasikuhusu.
Hata ukiona tu picha za gari hivi na bei zake ni faraja tosha,inakupa moyo
Sent using Jamii Forums mobile app
Mmh😱Kama upo serious unataka gari njoo inbox, vitu vidogo tu ivyo
Toyota Prado Mayai
Petrol
Bei: Milioni 10.5
Mawasiliano:0658124554View attachment 844915View attachment 844916View attachment 844917View attachment 844918View attachment 844919View attachment 844920
Sent using Jamii Forums mobile app
PMHabari wakuu Nina wazungu wangu kutoka ulaya wanakuja mwezi wa 11, walikuwa wanataka gari ya kukodisha waendeshe kutoka Arusha to DSM watakaa nayo kwa siku 5, hivyo wanatafuta kampuni itayoweza kuwakodishia hiyo mambo
Sent using Jamii Forums mobile app
Nipigie 0658124554 hatutashindwanamkuu hii ina cc ngapi
je 9M unachukuwa iliuniaachie na mimi hiyo moja nikaifanyie service kidogo nianzekutembelea ndinga hii ya sisi walalahoi
ok ngoja nikucheck,ila hauja nijuza cc mkuu
Ni six cylinder ,3000CCok ngoja nikucheck,ila hauja nijuza cc mkuu
Hapana Kaka. Nimepita tu leo huku nisafishe macho. [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Umefanya vizuri sana...Umeyatendea haki macho yakoHapana Kaka. Nimepita tu leo huku nisafishe macho. [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sawa mkuu karibu sanaok mkuu, ntakucheck nikimaliza michakato flan hivi
Na kweli Kaka. [emoji120] [emoji120]