Master of the game
JF-Expert Member
- Sep 1, 2016
- 5,858
- 2,697
Pamoja sana mkuu SUASOHaaaaaa mkuu tulia utamiliki tu mi navutia pumzi tu dadaakiiiiii huu uzii naukubali sanaaaa
Toyota RAV4nahitaji Rava 4 new model
Pamoja sana kiongozi yaani kwa Uzi huu mkuu Master nimepata faraja na motivation kubwa sana kusaka mkwanja pia nidhamu ya hela hapa nishajikusanya wazee wapate kausafiri walau kakwenda nao kanisani tu!!Pamoja sana mkuu SUASO
Utakua umewafanyia jambo kubwa sana..Baraka zitamiminika ufanikiwe zaidiPamoja sana kiongozi yaani kwa Uzi huu mkuu Master nimepata faraja na motivation kubwa sana kusaka mkwanja pia nidhamu ya hela hapa nishajikusanya wazee wapate kausafiri walau kakwenda nao kanisani tu!!
Amina!! Nikiwa sawa mkuu ntakufuata huko huko mjiniUtakua umewafanyia jambo kubwa sana..Baraka zitamiminika ufanikiwe zaidi
Karibu sanaAmina!! Nikiwa sawa mkuu ntakufuata huko huko mjini
Mkuu,hivi kama una gari auction fee ni kama % ya Total Price? Hii ina maana ili kujua kati ya madalali wa Mtaani na nyinyi ambao ni rasmi kuna utofauti kiasi gani(percentage wise)Toyota Rav 4
Bei: Milioni 10
Mawasiliano:0658124554
Kuna gari unahitaji au unayo gari unauza wasiliana nasi tulipatie ufumbuzi hitaji lakoView attachment 871792View attachment 871793View attachment 871795View attachment 871796View attachment 871797
Kwa sasa bado tupo kwenye mfumo wa malipo kadri ya makubaliano kati yetu na mmiliki wa gariMkuu,hivi kama una gari auction fee ni kama % ya Total Price? Hii ina maana ili kujua kati ya madalali wa Mtaani na nyinyi ambao ni rasmi kuna utofauti kiasi gani(percentage wise)