Car4Sale Wapenzi wa magari mazuri msiache kupitia huu uzi ili kuuza au kununua

Car4Sale Wapenzi wa magari mazuri msiache kupitia huu uzi ili kuuza au kununua

Status
Not open for further replies.
nahitaji Rava 4 new model
Toyota RAV4
Mwaka:2007
2360CC
16Valve
Vvti
117519Km
Be: Milioni 26
IMG-20180919-WA0111.jpg
IMG-20180919-WA0110.jpg
IMG-20180919-WA0109.jpg
IMG-20180919-WA0108.jpg
IMG-20180919-WA0107.jpg
IMG-20180919-WA0106.jpg
IMG-20180919-WA0112.jpg
 
Pamoja sana mkuu SUASO
Pamoja sana kiongozi yaani kwa Uzi huu mkuu Master nimepata faraja na motivation kubwa sana kusaka mkwanja pia nidhamu ya hela hapa nishajikusanya wazee wapate kausafiri walau kakwenda nao kanisani tu!!
 
Pamoja sana kiongozi yaani kwa Uzi huu mkuu Master nimepata faraja na motivation kubwa sana kusaka mkwanja pia nidhamu ya hela hapa nishajikusanya wazee wapate kausafiri walau kakwenda nao kanisani tu!!
Utakua umewafanyia jambo kubwa sana..Baraka zitamiminika ufanikiwe zaidi
 
Toyota Rav 4
Bei: Milioni 10
Mawasiliano:0658124554
Kuna gari unahitaji au unayo gari unauza wasiliana nasi tulipatie ufumbuzi hitaji lako
IMG-20180920-WA0030.jpg
IMG-20180920-WA0031.jpg
IMG-20180920-WA0031.jpg
IMG-20180920-WA0035.jpg
IMG-20180920-WA0033.jpg
 
Gx100 inauzwa Milioni 2
Gari ipo vizuri ndani na nje
Mlango wa nyuma aligusa mti kidogo na fundi alienyoosha hakua wa kiwango ..Pia kitasa cha nyuma hakifungi vizuri

Gari inauzwa kama ilivyo milioni 2

Nipigie 0658124554
IMG-20180920-WA0045.jpg
IMG-20180920-WA0046.jpg
IMG-20180920-WA0044.jpg
 
Mkuu,hivi kama una gari auction fee ni kama % ya Total Price? Hii ina maana ili kujua kati ya madalali wa Mtaani na nyinyi ambao ni rasmi kuna utofauti kiasi gani(percentage wise)
Kwa sasa bado tupo kwenye mfumo wa malipo kadri ya makubaliano kati yetu na mmiliki wa gari

Swala la makadirio tumekua tukilifikria kwa muda mrefu namna yakulitekeleza linakua gumu kidogo sababu mara nyingi mtu anapouza gari huuza kwa thamani ya chini (hawezi kupata bei juu ya ile aliyonunulia gari )

Bado naamini njia ya kuweka malipo kwa asilimia ndio njia nzuri zaidi japo inahitaji umakini ili tusijiumize au kumuumiza mteja wetu
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom