Kilemakyaaro
JF-Expert Member
- Jul 19, 2016
- 5,051
- 5,104
Mkuu huu uzi unaelekea kuuharibu, magar hutoi detail zakutosha kama zamani, gar unapost picha chache tena za nje, ndani huonyeshi kwenye baadhi ya magar, hakuna detail za klm za gar, picha nyingine zimekaa upande hata namba za magar hazionekani, nnakusihi badilika