Kilemakyaaro
JF-Expert Member
- Jul 19, 2016
- 5,051
- 5,104
Naomba ushuhuda wa mtu yoyote aliyenunua gari inayotokana na hii thread!
Nimenunua gari mbili 2 kutoka kwa huyo Mwamba, Ist na Raum..... na zinapiga mzigo fresh tuu mpaka leoNaomba ushuhuda wa mtu yoyote aliyenunua gari inayotokana na hii thread!
Hii ishauzika mkuukm ngap imetembea?
72000KmIna KM ngapi hiyo Crown?
Mkuu asante sana kwa ushauri wako, sitaki kuongea mengi zaidi ya vitendo .Nakuahidi kuzingatia ushauri wakoMkuu huu uzi unaelekea kuuharibu, magar hutoi detail zakutosha kama zamani, gar unapost picha chache tena za nje, ndani huonyeshi kwenye baadhi ya magar, hakuna detail za klm za gar, picha nyingine zimekaa upande hata namba za magar hazionekani, nnakusihi badilika
Mkuu nitafutie mteja pleasNissan Xtrail for sell..klm. 90000 na imetunzwa vizuri inauzwa mil. 10 tu negtView attachment 937809
Sawa mkuu nicheki WhatsApp 0658124554 unipe details za kutoshaMkuu nitafutie mteja pleas
Kuendesha gari kwa hapa mjini inataka moyoMkuu, unafanya kazi nzuri mno, ugomvi wetu tumehamishia kwa Traffic kwa sasa.
Soon chiefSawa mkuu nicheki WhatsApp 0658124554 unipe details za kutosha
True...Kuendesha gari kwa hapa mjini inataka moyo
Thanks mkuu kwa ushuhudaNimenunua gari mbili 2 kutoka kwa huyo Mwamba, Ist na Raum..... na zinapiga mzigo fresh tuu mpaka leo
Duh thread ina mwaka sasa hata mtu mmoja aliyekuja kulalamika hakuna, watu tunanunua na tunauza kwa raha zetu. Kiufupi humu jukwaani kwenye biashara nawakubali huyu bwana Master of the Game, na Mwl RCT, wako very smart. Nunua ndugu
Kuendesha gari kwa hapa mjini inataka moyo
Zipo mkuu nicheki WhatsApp 0658124554 nikutumie pichaMkuu master, habari za Leo ,nimepita sehemu nikamuonesha mtu huu Uzi wako amefurahi sana.....swali lake ni je hivi kuna uwezekano akapata Noah new model akijipanga akawa na sita?