Master of the game
JF-Expert Member
- Sep 1, 2016
- 5,858
- 2,697
Bado nafanya decision kati nissan extrail na subaru legacy b4 ni ipi ninunue... hebu nisaidieni wajuvi wa mambo
Subaru Legacy B4 iko poa zaidi chukua chuma ilo kiongozi
Xtrail suv safi sana ipo juujuu inaweza kukufaa ila angalia matumizi yako kwanza yakoje kabla hujafanya maamuziBado nafanya decision kati nissan extrail na subaru legacy b4 ni ipi ninunue... hebu nisaidieni wajuvi wa mambo
Mini Cooper
Mwaka:2002
1600CC
Bei: Milioni7
Mawasiliano:0658124554 View attachment 923470View attachment 923471View attachment 923472View attachment 923474
Wacha nikuangalizie nyengineBado ipo hii mkuu?hauna za rangi nyingine?
Hahahaaaaaa you put only??????[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Weka pichaNdg naomba mwenye land rover defender short chasis anichek.
Bado nafanya decision kati nissan extrail na subaru legacy b4 ni ipi ninunue... hebu nisaidieni wajuvi wa mambo