Car4Sale Wapenzi wa magari mazuri msiache kupitia huu uzi ili kuuza au kununua

Car4Sale Wapenzi wa magari mazuri msiache kupitia huu uzi ili kuuza au kununua

Status
Not open for further replies.
Nissan Civilian
Bei: Milioni 15
Gari ipo Tabata
Inapiga kazi Mbezi / Gmboto
Mawasiliano:0658124554
IMG-20181125-WA0024.jpg
IMG-20181125-WA0022.jpg
 
Bado nafanya decision kati nissan extrail na subaru legacy b4 ni ipi ninunue... hebu nisaidieni wajuvi wa mambo
 
Bado nafanya decision kati nissan extrail na subaru legacy b4 ni ipi ninunue... hebu nisaidieni wajuvi wa mambo
Xtrail suv safi sana ipo juujuu inaweza kukufaa ila angalia matumizi yako kwanza yakoje kabla hujafanya maamuzi
 
Scania 124L four hundred
Direct imported from UK
Inatumia pump sio dot
Bei: Milioni 75(Bei inajumuisha usajili)
Mawasiliano:0658124554
FB_IMG_1543220943913.jpg
FB_IMG_1543220954356.jpg
FB_IMG_1543220948940.jpg
FB_IMG_1543220940240.jpg
 
Ndg naomba mwenye land rover defender short chasis anichek.
 
Achana Na uchafu wa Xtrail , chukua mashine hiyo Subaru mkuu
Bado nafanya decision kati nissan extrail na subaru legacy b4 ni ipi ninunue... hebu nisaidieni wajuvi wa mambo
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom